Masauti – Deka Lyrics

Masauti 001 EP Lyrics

Masauti – Deka Lyrics

Masauti Deka Lyrics

Deka! Deka! Deka! (Masauti)
Anadeka deka, deka (Kenyan Boy)
Anadekadeka, deka deka (001)
Anadeka, deka, deka (Motif di Don)

Ngozi yake ilivyo laini eh
Pozi lake nalo dhamini eh
Pua kajitoboa kipini eh
Kwa sure huyu mtoto wa mjini eh

Nikazuri kasupa kindege eh
Jicho lake lanipaga dege
Alafu kana mizuka ya genge
Natamani kanipe nimege

Na kanavyo Dondoka
Kamejaza baze twitter baze twitter
Na kanashoboka
Nikikaona kakipita aki Sister

Akicheka ana mwanya
Sijui ni kusudi anafanya
Nyuma anavyo itawanya
Nikipiga miluzi ananikanya

Ila anadeka, de Aah!
Nikimuita anadeka, de Aah!
Akipita anadeka, de Aah!
Eti anadeka, de Aah!! Aaah!

Anadekadeka, deka deka
Anadeka deka, deka
Anadekadeka, deka deka
Anadeka deka, deka

Unaposugua! Unainua!
Nyoka ya shaba ushaitibua
Ebu sasambua mama pekechua
Kama kuku manyoya nitakufichua

Sijali geti kali, mbwa kali
Kama noma iwe noma , noma
Jeusi melanin, chokoleti
Niko rada yake Noma , Noma, Noma

Nikazuri kasupa kindege eh
Jicho lake lanipaga dege
Alafu kana mizuka ya genge
Natamani kanipe nimege

Akicheka ana mwanya
Sijui ni kusudi anafanya
Nyuma anavyo itawanya
Nikipiga miluzi ananikanya

Akicheka ana mwanya
Sijui ni kusudi anafanya
Nyuma anavyo itawanya
Nikipiga miluzi ananikanya

Ila anadeka, de Aah!
Nikimuita anadeka, de Aah!
Akipita anadeka, de Aah!
Eti anadeka, de Aah!! Aaah!

Anadekadeka, deka deka
Anadeka deka, deka
Anadekadeka, deka deka
Anadeka deka, deka

Vimbai vimai Bae (Eeeh eeh)
Unavyo shape yako mi
Unanishikisha nare, nare

Vimbai vimai Bae (Eeeh eeh)
Unavyo shape yako mi
Unanishikisha nare, nare

Written by; Masauti
Released date; 18 November, 2020

Deka Lyrics Masauti