Masauti Shule Lyrics, Masauti ft Jay Melody Shule Lyrics

Ulinipa pendo
Nzito kuzingua
Nikakulinda nikutunze kama ua
Nina malengo, Mwenyezi anajua

Tuko pamoja kwenye mvua hata jua
Tusafiri kote, nikupe lolote
Upendo wako kwenye moyo umejaa
I’m ready is okay, ni wewe wa pekee

Huba lako ndani yangu limekaa
Sina unyanyapaa, na nitaridhika
Usiku mchana nikitaka unanipa
Omba saduda kote tutafika
Njoo tucheze, aiyuyuya waichukucha

Nipeleke wapi (Shule)
Nifunze mapenzi (Shule)
Najileta kwako (Shule)
Fundi wa mapenzi (Shule)

Nipeleke wapi (Shule)
Nifunze mapenzi (Shule)
Najileta kwako (Shule)
Fundi wa mapenzi (Shule)

Kile unanipa penzi ndo hapo
Napaka aah, nikupe mchapo
Aah, na vile unanidekeza ndo hapo
Nachachawa, uko pekeyako

Uko pekeyako ooh
Kushika moyo ooh
Ata kidogo, I do wanna let you go
Basi mwenzio ooh
Kwako niko hoi, I do wanna let you go

Sina unyanyafaa
Na nisharidhikaa
Usiku mchana nikitaka unanipa
Usizime taa, utashusha mzuka
Njoo tuicheze, aiyuyuya waichukucha

Nipeleke wapi (Shule)
Nifundishe mapenzi (Shule)
Najiweta kwako (Shule)
Fundi wa mapenzi (Shule)

Nipeleke wapi (Shule)
Nifundishe mapenzi (Shule)
Najiweka kwako (Shule)
Fundi wa mapenzi (Shule)