Masauti – Koroga​​ Lyrics

Masauti Koroga​​ Lyrics
Masauti – Koroga​​ Lyrics

Koroga​​ Lyrics by Masauti

Masauti, Kenyan Boy
(It’s Bonga), 001
Mmmh mmmh …

Penzi lake mwana shango
Moyo wangu kwake chambo
Ndo ananifanya nawaza
Chozi langu wapi chanzo
Limegeuka tangazo
Sisemi kanyamaza mmmh

Sa yamenifikaga mani
Yanapuputikaga mani, aki naumia
Sina pa kushika jamani sijidhamani
Zangia mmmh

Mapenzi gololi nimedema
Ndovu kibori sina jema
Nina mengi ila nashindwa kusema mmh
Mwenzake sifichi zilipenya
Ata siridhiki nikihema
Japo sio chanda chema

Aah mi umenikoroga, koroga koroga
Yeah umenikoroga, koroga koroga
Mimi umenikoroga, koroga koroga
Aaah umenikoroga, koroga koroga
Aah, nikoroga….

Labda penzi bahati mi
Kama sina ndio basi najichosha bana mmh
Naezeka mabati naziba nyufa
Ila yeye ndo analete panya

Written by; Masauti 
Released date; 23 February, 2021

Masauti Koroga​​ Lyrics