Mimi Mars – Haina Maana Lyrics

Mimi Mars Lyrics

Mimi Mars Lyrics

Mimi Mars Haina Maana Lyrics

Nijipoze na nini?
Moyo mi unanipwita pwita
Nakunywa ananisahau
Bado yanakita kita

Kila siku kwanini?
Kwangu mapicha picha
Aah sina angalau

Naonyesha kujali aone napenda
Mwenzake nisiumie
Aah nakwama
Kuruhusu kichwani aniingie

Nikaacha kujali
Maumivu ya kutendwa mazima nivamie
Aaah nazama
Na kwa yote nilotenda kwake

Haina maana, haina maana
Haina maana, haina maana

Kujishusha hata kama hanikosei
Na bado msamaha nimwombe
Kuzidisha upole nisiongee
Na bado yanidode

Na kama sina sina bahati
Naacha kupenda
Manoti noti
Mashachoka maumivu ya kutenda
Na kama sistahili naacha

Naonyesha kujali aone napenda
Mwenzake nisiumie
Aah nakwama
Kuruhusu kichwani aniingie

Nikaacha kujali
Maumivu ya kutendwa mazima nivamie
Aaah nazama
Na kwa yote nilotenda kwake

Haina maana, haina maana
Haina maana, haina maana

Written by; Mimi Mars
Released date; 3 November, 2020