Mimi Mars – Una Lyrics

Mimi Mars Lyrics

Mimi Mars Lyrics

Mimi Mars Una Lyrics

Na anajiamini
Halali nje analala na mimi
Ndani ndani

Wengine wa nini? Yeiye
Anadata anavyopewa na mimi
Chumbani chumbani

Una unanichanganya(Una una)
Unavyonifanya(Una una)
Unanichanganya sana

Tena ukinigusaga
Na kunipazaga
Unanichanganya sana

Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavyonipa vyote
Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavyonipa vyote

Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavyonipa vyote
Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unanichanganya

Weka niweke wee
Weka niweke wee
Weka niweke wee
Weka niweke wee

Hata kama nitakosea usininunie beiby
Niambie
Bana si unajua mwanadamu
Niambie

Na unavyoninogesha
Ukija kuacha
Mwenzako nitajutia
Utanitoa roho, utanitoa roho

Habari za mjini kwani nini wee
Natoka na mimi kwani nini wee
Mchezo mchezo na baby wa mimi wee
Tulipotoka wanajua ni nini wee

Sema ukweli nishampata, nishamnasa
Alafu sasa na kwenye bedi mtamu haswa
Chuma mimi ila sumaku ishamnasa
Pelekeni angaza huo wenu ushauri na sasa

Anavyozungusha hicho kiuno
Mimi ndo nazidisha miguno
Wanapataka sasa unavyowapatia michuno
Kwani hawapati usingizi wakisikia miguno

Una unanichanganya(Una una)
Unavyonifanya(Una una)
Unanichanganya sana

Tena ukinigusaga
Na kunipazaga
Unanichanganya sana

Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavyonipa vyote
Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavyonipa vyote

Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavyonipa vyote
Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unanichanganya

Weka niweke wee
Weka niweke wee
Weka niweke wee
Weka niweke wee

Umenishika pabaya
Umenishika pabaya(Oooh yeah beib)
Umenishika pabaya
We bwana ni mbaya

Umenishika pabaya
Umenishika pabaya(Aaah aah)
Umenishika pabaya
We dada ni mbaya

Una una, una una
Una una, una una

Written by; Mimi Mars
Released date; 3 November, 2020