Mimi Mars – Wenge Lyrics

Mimi Mars Wenge Lyrics

Mimi Mars – Wenge Lyrics

Wenge Lyrics by Mimi Mars

(It’s S2kizzy beiby)

Ua la moyo limeshachelewa
Furaha yangu wewe na unajua

Ninapokupenda wee
Kama roho yangu
Popote nitapokwenda
Uwe pembeni yangu

Nitapunguza wenge wenge
Mmmh wenge wenge
Aah wenge wenge
Mmmh wenge!

Nitapunguza wenge wenge
Mmmh wenge wenge
Aah wenge wenge
Mmmh wenge, nitapunguza

Najua we hupendi wakituona
Twapatapo raha
Nasi twaendana na wanaona
Tunapendana sana

Ninapokupenda wee
Kama roho yangu
Popote nitapokwenda
Uwe pembeni yangu

Nitapunguza wenge wenge
Mmmh wenge wenge
Aah wenge wenge
Mmmh wenge!

Nitapunguza wenge wenge
Mmmh wenge wenge
Aah wenge wenge
Mmmh wenge! Nitapunguza

Kama nyota na mwezi
Tunaridhi penzi letu

(Kwa Mix Lizer)

Written by; Mimi Mars
Released date; 17 February, 2021

Mimi Mars Wenge Lyrics