Naiboi JAM Lyrics (feat. Femi One)

Yeah ah
A naiboi worldwide 
Femi uno ey
Tuta jam na hii jam
Tuta jam na hii jam okay
Tuta jam na hii jam
NaiWorld music

Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Muta jam na hii jam ata ndani ya jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Muta jam na hii jam ata ndani ya Bar

Tupige kasherehe
Pande gane
Hapa kila mtu ame bamba wake
Kwani rada gane
Nadai Rada safe
Otero mambo mbaya
Mindio baba yake
Aya keti naye
Vile kame smama
Macho macho usijitege kamba
Only Live once kama mbaya mbaya
Jipange we mwenyewe usi preachie choir
Skia wame jam skuizi nime change Diet
Wamejam vile bei pia mbaya

Wamejam juu skuizi wakini call nimtejaimteja
Wanambari hapatikani kwa hi number hey
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Muta jam na hii jam ata ndani ya jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam
Simuta jam na hii jam Tuta jam na hii jam

Muta jam na hii jam ata ndani ya Bar
Eti Wameshika nare nare-e, nare nare-e
Wameshika nare nare-e nare nare-e
Eti Wameshika nare nare-e nare nare-e
Wameshika nare nare-e nare nare-e
Niliweka nywele yangu dye wakajam
Nikasema femi bado uno wakajam
Sai fine gyal peng ting si wanakam
Naskia umejam juu calendar imejaa
Jah jah bless me

Amenieka fiti mbele ya enemies
Acheni utoto
Femi bado plan literally
Drinks weekendy mini daily
U star ndio cheque
Mi si spendi
NaSkia wame jam skuizi nime change Diet
Wamejam vile bei pia mbaya
Wamejam juu skuizi wakini call nimteja
Wanambari mbari mbari
Basi muta jam na hii jam Tuta jam na hii jam