Naiboi – Ready Lyrics | Find Out Lyrics

Naiboi – Ready Lyrics

Naiboi Ready Lyrics (feat. A.Y.)

Are you ready
Jeshi imefika jo makelele
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei
Are you ready
Jeshi imefika jo makelele
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei
Are you ready
Ah

Machine Gance niko ready ku shoot Ready
Uko ready kudedi are you ready
una study my every move Ready
Uko ready to grady Are u ready
Unakaa una mpango na me ready
Uko ready ku spendi are you ready
Weekday nika tricky daddyo ready
Uko ready weekendy are you ready
Ngoma imetoka stable daddy ready
Uko ready ku shaky are you ready

Kwa corner na the homies nani ready
Kaite sisters already are you ready
Chakula tunakula mami ready
Uko njaa tukucheki are you ready
Akili sini nywele aki ready
Wenye vipara tuwacheki
Are you ready
Jeshi imefika jo Makelele
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei
Are you ready
Jeshi imefika jo makelele
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei
Are you ready

First you LEARN then you EARN (Ready)
Kiuno Gogo mpaka Uno Feni (Ready)
Kusota mpaka kuwa na Mapeni
(Uh uh uh Are you ready)
Nipe nafasi uone vile ambavyo (Niko Ready)
Ondoa wasi ili upate mambo (Kede Kede)
Ukiona muda huu mambo yanabamba
Nangoja useme suu iwe (Bumper to Bumper)
(Eeeeeh)
Masta Ebu Pass The Courvoisier
(Eeeeeh)
Tubang ka-ma tu-po U-topia
Hakuna hatayekueleza kitu Manzee
Wewe Gonga-Vitu kisha uliza
Are you ready
Jeshi imefika jo makelele
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei

Are you ready
Jeshi imefika jo makelele
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei
Are you ready, Are you ready
Are you ready, Are you ready
Are you ready
Jeshi imefika jo makelele
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei
Are you ready
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei, Are you ready!
Tuna ma bei bei,

Are you ready
Jeshi imefika jo makelele
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei
Are you ready
Jeshi imefika jo makelele
Pombe leo tunakunywa watubebe
Usipime pia tume kuja na ma bei bei
Tuna ma bei bei
Are You Ready