FindOutLyrics
  • Home
  • Contact Us
  • DMCA
  • Fair Use Notice
  • Home
  • Contact Us
  • DMCA
  • Fair Use Notice
FindOutLyrics
No Result
View All Result

Zuchu ft. Diamond Platnumz – Cheche Lyrics

2 years ago
Zuchu Side 2 Side EP
Zuchu – Side 2 Side EP

Zuchu Cheche Lyrics

Rarari rarari
Iyaa, iyaa iyaa eey
Tiaria, rari rari eey

(Mocco)

Te amor Te amor
The te quero, quero
Yaliyomo yamo
Hujazoa penzi kwa beru

Mwenzako migulo chengele
Wanalia ugoya wa nje bwerere
Sema upendacho utakula jegele
Kinyama kulumagia kam nkuchumie tembele

Na bila huruma unanimijuza
Kwamba unayabaruza
Mi mtoto unanimikuza
Wee aah

Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
You dey give me banana
Your love is stamana

Unachezesha kwaito
Kwa koro waito
My baby twachezeshana

Che! Che! cheche rumba che! che!
Hey tunashikana shikana
Che! Che! cheche rumba che! che!
Tunachezeshana

Che che che rhumba che
Che! Che! cheche rumba che! che!
Zinatoka che che tukigusana gusana
Che! Che! cheche rumba che! che!

[Diamond Platnumz]
Eeeh unapendaga chocolate (Enhe)
Mavanilla nilla (Enhe)
Tam tam sweety ety (Enhe)
Nikichenga ka roja Mila (Enhe)

Brrr Okey!
Penzi koleza uje wa Dubai
Huba lipambe motorcycle
Kama mafuta kwa karai

Okey na ulivyo katoto lito to!
Leo mpaka kokoriko ko!
Ghetto ni kulamba mwiko ko!
Sakafu hadi kwata niko ko!

Korikoko mama utaniua, nikomeshe!
Ya leo kiboko, nikomeshe!
Imezidi utamu, nikomeshe!
She! She! She! Komeshe!

Asa kukuacha wewe (Nitawezaja?)
Niende kwa mwengine (Nitawezaja?)
Ujeuri sina
Jinsi twachezeshana

Che! Che! cheche rumba che! che!
Hey tunashikana shikana
Che! Che! cheche rumba che! che!
Tunachezeshana

Che che che rhumba che
Che! Che! cheche rumba che! che!
Zinatoka che che tukigusana gusana
Che! Che! cheche rumba che! che!

Na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka!
Kinkiri kankara kinkiri
Zanimalizaga

Eeh na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka!
Venye unavyo kinkiri
Kinkiri kan kinki
Kinkiri kanka
Ki! Ka! kirinkaka!

Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
You dey give me banana
Your love is stamana

Unachezesha kwaito
Kwa koro waito
My baby twachezeshana

(Kwa Mix Lizer)

Written by; Zuchu and Diamond Platnumz
Produced by; Lizer Classic and Mr LG
Released date; 13 September, 2020
Album/EP; Side 2 Side

    Lyrics Knowledge:

  • Written by:
  • Album:
  • Released:

Similar Lyrics;

Diamond Platnumz Ramadhan Lyrics

Diamond Platnumz – Ramadhan Lyrics English Translation

Diamond Platnumz Ramadhan Lyrics

Diamond Platnumz – Ramadhan Lyrics

Diamond Platnumz First Of All EP Lyrics

Diamond Platnumz – Loyal Lyrics English Translation

Diamond Platnumz First Of All EP Lyrics

Diamond Platnumz – Melody Lyrics English Translation

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

  • Home
  • Contact Us
  • DMCA
  • Fair Use Notice
Find Out Lyrics © 2022 - All Rights Reserved.
  • Home
  • Contact Us
  • DMCA
  • Fair Use Notice