Zuchu AYE Lyrics

Eeehhhhhhhhhhhhh
Naitwa zuchu zuhuraa
Kiboko ya vigagura
Nawavalisha vikapturaa
Nawafanya kama sunguraaa
Veryyyyy,,,,,,,guuuud,,,,,

Bebee shika hukooo
Hapoo hapo hapoo
Uyaaaa uyaaaaa
Iyaaaa iyaaayooo
Bebe shika hukooo
Hapoo hapo hapoo
Uyaaaa uyaaaaa
Iyaaaa iyaaayoo

Eeehhh ameliii chichiiiichii
Ambuliii chachachacha aahh
Hamnishikikii nimewachapachapa

Chapa chapa chapa chapa
Chachachachacha ayaaaaa
Twendeeeeee

Kiberiti hakitingishiki
Huwezi kubania ridhiki
Ankali sitoi kiki
Na level zangu hufikiii

Tuliaaaaa,,,,weweee sikilizaaa
Oyaaaaa aaaeeeeeh, oyaaaaa aaaeeeeeh
Aooooohhhh, aooooohhhh
Aeeehhhhhh, aeeehhhhhh
Aaoooohhhh, aaoooohhhh

Pianooo pianoooo
Pianooo,,,,,,
Filter kibaooo
Nyodo za nn asaa
Mtu mwenyewe kumbe AI
Ebu toka hapana
Haina kikaoo

Ukileta mdomo mdomo
Nakupiga mimbata
Nakuchekea
Nakuchekea
Nakuchekea
Nakuchekea
Nakuchekea
Nakuchekea ebu toka hapa

Kiberiti hakitingishiki
Huwezi kunibania riziki
Ankali sitoi kiki
Na level zangu hufiki

Tuliaaaaa weweee
Sikilizaaaaa oyaaaa
Aeeehhhhhh, aeeehhhhhh
Aooooohhhh, aooooohhhh
Aeeehhhhhh, aeeehhhhhh
Aooooohhhh, aooooohhhh
Veryyyyy whaaaaat
Veryyyyy guuuud