Maua Sama – Namwachia Lyrics

Maua Sama Namwachia Lyrics

Yangu furaha, Imegeuka majuto
Kicheko kimegeuka kilio
Ila ninaamini wema hauozi umenipa mazito – me naumia hey
Nilijua utanifuta machozi umenipa majonzi – me nalia

Zangu hisia nilishindwa kuficha
Wazi wazi ukatambua
Na Ndonga ukanpasua
Wangu rafiki, Wote ulowajua
Na Nguo ukawavua, Pasipo me kujua
Wacha nikae pembeni

Namwachia Mungu tu
(Labda kuna mahali nilikosea)
Namwachia Mungu tu
(Kesi yako kwake nakushtakia)
Namwachia Mungu tu
(Maana umezidi kunionea)
Namwachia Mungu tu
Aaaaa

Nilikupa Muda na vyote vilivyo vyangu
Ila malipo ya yote kunitukanisha na ndugu zangu
Kweli mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
Nimelijua sawa
Moyo wangu umeuchakaza
Umehondomola mpaka gunzi
Wema umenilipa ubaya

Sitoshindwa hata tukionana
Kuachana sio uhasama
Sintothubutu kuzozana nimekunawa

Nakuombea kheri salama
Umpate yule mtakae wezana
Kumbuka kugunga zipu bwana msije kwazana

Zangu hisia nilishindwa kuficha
Wazi wazi ukatambua
Na Ndonga ukanpasua
Wangu rafiki, Wote ulowajua
Na Nguo ukawavua, Pasipo me kujua
Wacha nikae pembeni

Namwachia Mungu tu
(Labda kuna mahali nilikosea)
Namwachia Mungu tu
(Kesi yako kwake nakushtakia)
Namwachia Mungu tu
(Maana umezidi kunionea)
Namwachia Mungu tu
Aaaaa

Maua Sama Namwachia Lyrics English Translation

My happiness, It has turned to regret
Laughter turned to tears
But I believe goodness does not rot you have made me heavy – me it hurts hey
I knew you would wipe away my tears you gave me grief – I cried

My feelings I could not hide
Clearly you realized
And Ndonga broke it
My friends, All you know
And you stripped them naked, without me knowing it
Let me sit on the sidelines

I just leave it to God
(Maybe there’s something I did wrong)
I just leave it to God
(Your case against him I charge you)
I just leave it to God
(Because you have seen me more)
I just leave it to God
Aaaaa

I gave you Time and all that is mine
Except the reward of it all insulted me and my brothers
Truly accustomed to the execution of the slaughter is impossible
I knew it right
My heart is pounding
You have broken down to the core
Goodness has rewarded me evil

I will not fail even if we see each other
Divorce is not hostile
I do not dare to argue with you

I wish you well
Find the one you want
Remember to lock the zipper sir so you don’t stumble

My feelings I could not hide
Clearly you realized
And Ndonga broke it
My friends, All you know
And you stripped them naked, without me knowing it
Let me sit on the sidelines

I just leave it to God
(Maybe there’s something I did wrong)
I just leave it to God
(Your case against him I charge you)
I just leave it to God
(Because you have seen me more)
I just leave it to God
Aaaaa

    Lyrics Knowledge:

  • Written by: Maua Sama
  • Album: Cinema
  • Released: 2022