Maua Sama – Tomorrow Lyrics

Maua Sama Tomorrow Lyrics

Akili haitembei Ubongo ume’Scratch unakwama kwama
Moyo ume’Delay nikitamani usiende mbali
Upweke nao Kwangu umekuwa jirani
Mi Mtumwa wa penzi lako imenitoka Imani

Kweli Umeniweza
Ni kama Ndumba umenitengeneza
Nashindwa Sema kujieleza
Moyo kupenda na kujitesa mwenyewe

Ama hisia zangu haziongei
Hunielewi ninachotaka
Hizo zunguusha delay
Si useme basi nikuite Kaka!

Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Leo giza totoro (Aaaeehh)
Totoro totoro

Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Leo giza totoro (Aaaeehh)
Ndo utaja nirudhiA(Aaaeyaah)

Umevuruga mito nyendo Sina
Nakosa maneno kinywa kimnya
Wanipa mateso unavyoringa
Kama penzi lako levi niko tilalila

Mara subiri tena unanichana don’t feel alone
Ukweli nambie
Kama Mimi najidanganya toto na koni
Sorry nambie

Umeniweza
Ni kama Ndumba umenitengeneza
Nashindwa Sema kujieleza
Moyo kupenda na kujitesa mwenyewe

Ama hisia zangu haziongei
Hunielewi ninachotaka
Hizo zunguusha delay
Si useme basi nikuite Kaka!

Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Leo giza totoro (Aaaeehh)
Totoro totoro

Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Leo giza totoro (Aaaeehh)
Ndo utaja nililia

Maua Sama Tomorrow Lyrics English Translation

The mind does not move The brain is scratch stuck
My heart is’ Delay I wish you did not go far
Loneliness with them to Me has become a neighbor
I am a slave to your love

You really did
It’s like Ndumba made me
I Can’t Say Express
Heart to love and torment yourself

Either my feelings do not speak
You do not understand what I want
Those circles delay
Don’t say let me call you Brother!

Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Leo dark totoro (Aaaeehh)
Totoro totoro

Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Leo dark totoro (Aaaeehh)
Ndo utaja nirudhiA (Aaaeyaah)

You have disturbed the flow of rivers I do not have
I miss the words mouth shut
Give me as much suffering as you want
If you love me, I will sleep

Just wait again you kiss me don’t feel alone
Truth be told
Like I deceive myself baby with a cone
Sorry tell me

You have made me
It’s like Ndumba made me
I Can’t Say Express
Heart to love and torment yourself

Either my feelings do not speak
You do not understand what I want
Those circles delay
Don’t say let me call you Brother!

Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Leo dark totoro (Aaaeehh)
Totoro totoro

Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Nangoja Tomorrow (Aaaeeeh)
Leo dark totoro (Aaaeehh)
So you mentioned I cried

    Lyrics Knowledge:

  • Written by: Maua Sama
  • Album: Cinema
  • Released: 2022