Maua Sama – Vimba Lyrics

Maua Sama Vimba Lyrics

Usiku hulali unaumia tena unawaza
Kukicha maswali na stress umejaza
Inaniumiza kukuona unaumia wewe Baba

Najua unanipenda
Ila unawaza labda nitakimbia
Kisa Mimi ni Star ndo unahofia labda nitakimbia

Nimeridhika mimi (Aaaah aaah)
Na hali yako hiyo (Aaaah aaah)
Nataka uvimbe Baby (Aaaah aaah)
Mi ni wako pekee (Aaaah aaah)

Vimba Vimba Vimba (Kama unanipenda)
Vimba Vimba Vimba (Amini Unapendwa)
Vimba Vimba Vimba (Watu waoneshe)

Tambua Kipaji kanipa Maulana Ni karama
Unaponyong’onyea unaniumiza sana
Oooh Bwana
Tena unatetemeka (Tetee)
Ukiniona unasita, Kijasho kinakutoka (Mmmh)

Wanipa Raha, si masikhara, Dhahiri nasema
Twende kwa Baba Mzee Sama
Tumalize Biashara

Najua unanipenda
Ila unawaza labda nitakimbia
Kisa Mimi ni Star Ndo unahofia labda nitakimbia (Yeeea yeiyaaeh)

Nimeridhika mimi
Na hali yako hiyo
Nataka uvimbe Baby
Mi ni wako pekee

Vimba Vimba Vimba (Kama unanipenda)
Vimba Vimba Vimba (Amini Unapendwa)
Vimba Vimba Vimba (Watu waoneshe)

Maua Sama Vimba Lyrics English Translation

The night is still painful and you think
Feeling we have ‘Run out of gas’ emotionally
It hurts me to see you hurt you Dad

I know you love me
But you think maybe I’ll run away
Case I’m a Star ndo you’re afraid maybe I’ll run away

I am satisfied (Aaaah aaah)
And your situation (Aaaah aaah)
I want to swell Baby (Aaaah aaah)
I am yours alone (Aaaah aaah)

Vimba Vimba Vimba (If you love me)
Vimba Vimba Vimba (Believe You Are Loved)
Vimba Vimba Vimba (People show)

Recognize the Gift I Give Maulana It is a gift
When you whisper it hurts a lot
Oooh Sir
Again trembling (Tetee)
If you see me hesitant, Sweat is coming out of you (Mmmh)

It gives me pleasure, not jokes, I definitely say
Let us go to the Old Father Sama
Let’s Finish the Business

I know you love me
But you think maybe I’ll run away
Case I’m Star Ndo you’re afraid maybe I’ll run away (Yeeea yeiyaaeh)

I am satisfied
And your situation is the same
I want to swell Baby
I am yours alone

Vimba Vimba Vimba (If you love me)
Vimba Vimba Vimba (Believe You Are Loved)
Vimba Vimba Vimba (People show)

    Lyrics Knowledge:

  • Written by: Maua Sama
  • Album: Cinema
  • Released: 2022