Sho Madjozi – Jamani Lyrics

Sho Madjozi What A Life Album Lyrics

Sho Madjozi – What A Life Album Lyrics

Sho Madjozi Jamani Lyrics

Nilikufeel jamani
Nilikufeel jamani, hallo
Nilikufeel jamani
Nilikufeel jamani

Nilikufeel jamani
Ata kama niko busy jamani
Nilikufeel jamani
Kukuona itabidi jamani

Ah ni kwanini jamani
Nakuwaza siku hizi jamani
Nakumiss jamani
Nakuuliza wataka mimi na nani

Asa husikilizi jamani
Una simu hunipigii jamani
Ah mi sibelieve jamani
We ni washe usinizime jamani

Asa husikilizi jamani
Una simu hunipigii jamani
Ah mi sibelieve jamani
We ni washe usinizime jamani

Written by; Sho Madjozi 
Released date; 24 November, 2020
Album/EP; What A Life

Jamani Lyrics Sho Madjozi