Marioo Mama Amina Lyrics
Shii, Shii
Wangu moyo unauminya
Ma Amina wee, unauminya
Wangu moyo unauminya
Ma Amina wee, unauminya
Ah mama Amina
Mama Amina wee, shii
Chomeka aah, chomoa aah
Mwenzako nawashwa shwa
Chomeka aah, chomoa aah
Mwenzako nawashwa shwa
Vile kanakatikati patam
Eeh patam
Mechi zile zimepasi pasi na utam
Eeh na utam
Wangu moyo unauminya
Ma Amina wee, unauminya
Wangu moyo unauminya
Ma Amina wee, unauminya
Ah mama Amina
Mama Amina wee
(Sho Ma)
Kama ona sisi yoh ba yo
Tena sisi oh my oh
Kama tunazidi more by more
Itabidi 4 by 4
Kama ona sisi yoh ba yo
Tena sisi oh my oh
Kama tunazidi more by more
Itabidi 4 by 4
Wangu moyo unauminya
Ma Amina wee, unauminya
Wangu moyo unauminya
Ma Amina wee, unauminya
Ah mama Amina
Mama Amina wee
Wangu moyo unauminya
Ma Amina wee, unauminya
Wangu moyo unauminya
Ma Amina wee, unauminya
Ah mama Amina
Mama Amina wee
Written by; Marioo, Sho Madjozi and Bontle Smith
Released date; 28 November, 2020