Marioo Alhamdulillah Lyrics
Uuuuuh uuuuh
Uuuuuh uuuuh
Abbah kutoka aloooh
Mmmh
Story of my life so far yani moto juu ya moto
Story of my life so far aah
Fire kun fire
Nilikotoka ukimwaga mboga
Wanamwaga ugali wanatoboa na sufuria
Nilikotoka pilau na soda
Mkila ujue iyo ni siku ya sikukuu
Nilikotoka ukimwaga mboga
Wanamwaga ugali wanatoboa na sufuria
Nilikotoka mchongo runinga
Tv kwa jirani mpaka ukanawe miguu
Mama single mother
Shule sijasoma ila mtaa ulinifunza kupambana
Niko mi na mother madeni kila kona
Kama movie
Oooh alhamdulillah
Hatumkufuru mungu asahivi tuko nazoo
Chapati na maharage ndio imeleta doo
Chapati na maharage ndio imeleta doo
Bodaboda daladala imeleta doo
Bodaboda daladala imeleta doo
Chapati na maharage ndio imeleta doo
Chapati na maharage ndio imeleta doo
Manyanyaso masimango yameleta doooh
Manyanyaso masimango yameleta do
Uuuuuh uuuuh
Uuuuuh uuuuh
Ooh my god oh my god ooh my god
What a life what a life what a life
Ooh my god oh my god ooh my god
What a life what a life what a life
Kumbe maisha matamu Gsm hata husemi
Maisha matamu huuh Saidi Lugumi hata husemi iiih
Maisha matamu Albert Marwa Hata husemi
Maisha matamu huuh Mohammedi MchengerwaHata husemi iih
Oooh alhamdulillah
Atumkufuru mungu asahivi tuko nazoo
Chapati na maharage ndio imeleta doo
Chapati na maharage ndio imeleta doo
Bodaboda daladala imeleta doo
Bodaboda daladala imeleta doo
Chapati na maharage ndio imeleta doo
Chapati na maharage ndio imeleta doo
Manyanyaso masimango yameleta doooh
Manyanyaso masimango yameleta do
Uuuuuh uuuuh
Uuuuuh uuuuh
Ooh my god oh my god ooh my god
What a life what a life what a life
Ooh my god oh my god ooh my god
What a life what a life what a life
Uuuuuh uuuuh
Uuuuuh uuuuh
