Marioo Statue Lyrics (feat. Fathermoh, SEAN MMG, Ssaru & Motif)

Piga smile cheki cam gapi statue
Nakulike nimekumark wee ni tatoo
Dhigidha githinya siaga gwadu
Unabend pause alafu na raru

Piga aaah
Piga aaah
Piga statue
Inua mkono
Alafu cheza na mguu

Piga aaah
Piga aaah
Piga statue
Nakulike nimekumark
Kama tattoo

Simama kete
Piga one legee
Tingiza kichwa ni kaa zimeshika gwedhe
Kispaki anguka nayo twendee
Hapa ni kudance kubaniu kama daily

Usinipigie makofi utachoka Mikono itauma na Utamisi nyengine “Unanijua unaniskia
Usinpigie makofi Utachoka mikono itauma na utamis nyengine
Unanijua unaniskia”

Uno uno bailando Umlando “unanijua unaniskia”
Uno uno Bailando Umlando “unanijua unaniskia”

Piga aaah
Piga aaah
Piga statue
Inua mkono
Alafu cheza na mguu

Piga aaah
Piga aaah
Piga statue
Nakulike nimekumark
Kama tattoo

Ngoma nayo nikali unafanya nini ukikaa
Wabaki wametuseti ,wakituchoma mavela
Juu train nika isha toka sa itabaki wamehema
Na ati mimi ndio kadere sa itabidii nimehepa
Si ucheki ah
Doba imetubamba unaeza rudia selector
Leo zitashika sana na jo mabebe wamebeba
Moja mbili tatu cheki dj ashatubua
Pull up selector pull up pull up selector
Doba imetubamba unaeza rudia selector
Leo zitashika sana na jo mabebe wamebeba
Moja mbili tatu cheki dj ashatubua
Pull up selector pull up pull up selector

Piga aaah
Piga aaah
Piga statue
Inua mkono
Alafu cheza na mguu

Piga aaah
Piga aaah
Piga statue
Nakulike nimekumark
Kama tattoo

See si city girl anaset it for you
Leo uko na pretty girl make breakfast for two
Unanibambia ukiwa juu na unanigandishia miguu
Mi Nikichokeshwa na stool tutamalizia tu kwa pool
You want another one come take from me
Nimebeba motherland si you dig it for me
Si you dig it for me si you dig it for me
Si you dig si you dig si you dig it for me

Piga aaah
Piga aaah
Piga statue
Inua mkono
Alafu cheza na mguu

Piga aaah
Piga aaah
Piga statue
Nakulike nimekumark
Kama tattoo