Marioo Pini Lyrics (feat. Aslay)

Kutoka alooooh

Siri sio siri tena nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini to
Too oooh to
Moyo wake na pini to
Too oooh to

Mbio za sakafuni hazijawahi kufika
Hata kwenye mataa
Inawezekanaje uniache
Halafu nikuombee mema
Kila unachokiona ndio kuwa uyaone
Sio hayo mataa
Inawezekanaje uniache
Halafu nikuombee mema

Ooooh, Ubaya ubwela mi shabiki wa simba
Ukichapa la kushoto nachapa la kulia
Simuachii mungu
Usilete usela kwa mselaa
Me sijawahi kushindwa
Ulinifanya vibaya ndio maana
Dua zangu zilifika kwa mungu

Nacheka meno thelathini na mbili
Yote nje
Hahahaaa
Najifungiaga chumbani nazomea
Ooooooooooh
Nacheka meno thelathini na mbili
Yote nje
Hahahaaa
Nimepata habari Ex wangu anaumia aah

Siri sio siri tena nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini to
Too oooh to
Moyo wake na pini to
Too oooh to

Ai mama wee
Mmh wouwoooh oooh
Naona furaha

Mhhh mmmh, Ni ni nilinung’unika
Nilitokwa machozi yasiyofutika
Nilisurubika nikapata stress za kutaka kufa
Si ulinidharau huuuh huh
Ulivyopata wadau uuuh
Walivyopanda dau ukanitupa
Ukaniona nyang’au uuh

Sa hivi nimejipata umechacha umechunda
Unikomeee eeh
Ulikua kama google unajua kila kitu
Ushajua haujui
Mwenzako nishajipata napewa mapasi
Ya pacome heee
Si Ulikua kama google unajua kila kitu
Ushajua haujui

Henhe

Nacheeka meno thelathini na mbili
Yote nje
Hahahaaa
Najifungiaga chumbani nazomea
Ooooooooooh
Nacheka meno thelathini na mbili
Yote nje
Hahahaaa
Nimepata habari Ex wangu anaumiaaaaah
Lolololooloh

Siri sio siri tena nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini to
Too oooh to
Moyo wake na pini to
Too oooh to

Ai mama weeh
Naona furaha
Nasikia raha to ooh to
Aiwee totolilo to
Moyo wa
Moyo wake na pini
Shauri yake
Kutokaaaaaaa