Marioo Nairobi Lyrics (feat. Bien)
Uuuh uuh yeeh kutokaa
Mmh
Nilikutana nae kilimani nairobi
Elfu mbili na kumi na tano
Kibaridi cha asubuhi
Kijua flani sio kikali saa tano
Oooh Nairobi
Elfu mbili na kumi na tano ooh
Nikamchagua yeye katikati ya wenzake
Watano
Aaah nikamuomba akaniomba namba
Moyoni mwangu nikampa moja
She’s my number aaah number aah moja
Nikamuomba akaniomba namba
Moyoni mwangu nikampa moja
Now she’s my number aaah
number aah moja
Yani namaanisha kwamba
Ndio tushaoana
Tushaona
Ndio tushaoana
Ndio tushaoana
Tushaoana tushaoana tushaoana ahh
Tushaoana tushaoana tushaoana ahh
Tulipatana bongo mikocheni
Niko zangu beach nala upepo wa bahari
Alinipita kama meli
Anayumbayumba
Akidondosa kishenzi
Ooooh mikocheni
Nikamfata utadhani zombie
Habari gani mbona uko lonely
Jina ni gani akasema zari
Nikamwambia aje
Ajeeeh
Nikamwambia kwangu ni kwake
Nimshike wapi ndo aje
Nataka moyo wangu uwe wake
Watangojaa sana
Wakidhania tutaachana
Mi na yeye tumeshaivana
Naichapa usiku na mchana
Aiyaiyayah aah
Yani namaanisha kwamba
Ndio tushaoana
(Tushaona na yeye sa ni mi tu na yeye)
Tushaoana
(Tushaona na yeye eeeh sa ni mi tu na yeye)
Ndio tushaoana
Tushaoana tushaoana tushaoana ahh
Ndio tushaoana
Tushaoana tushaoana tushaoana ahh aaah
Oooh yeye tushaoana aah
Ooho
Alooooooh
