Marioo Wangu Lyrics (feat. Harmonize)

Yeah yauu yauuu
Bomboclaaaaat… Click master
Aaaaahhh… Kutoka alllllllooooooh

Marioo
Kama utani moyoni ameingia Nami nimeshzamaaa,
Tulikutana Tiktok, ndo mwanzo wa kufahamiana
Mara ghafla bin vu, kila kitu tunaendana ah
Ameninasa ka ulimbo, sitaki acha kumtazama eeh

Penzi mbona limenogaa, tamu kuzidi ata sodaaa
Penzi mbona linamwagika,kama maji ya bomba
Penzi mbona linamwagika,kama maji ya bomba

Asa nataka wajue unanipenda, niite babe (babe wanguuu)
Kwa wasio amini we ni wangu niite my (my wanguuu)
Hata ukinipost caption andika sweety (sweety wanguuu)
Wakija kukutongoza waambie nina mpenzi (mpenzi wangu)

Harmonize
Mhhhhh Aaaahh…. Oooohhh….
(Konde boy call me number one)

Mwombe Mungu uzimaaa, tatizo la mapenzi kanituma mimi
Nikupeee, nikupeeeee
Iwe mabonde, milima we fly any weather…. Rubani ndo mimi wa upendo
(nikupeeee, nikupeee…)
Mwoga wa kucheat naweeee, Vya uongo ndo kabisa siweez
Jua likizama, unautamani mwezi
Nakupost wajue sijiwezi (baabyyy)

Onaa…
Penzi mbona limenogaa, tamu kuzidi ata sodaaa
Penzi mbona linamwagika,kama maji ya bomba
Penzi mbona linamwagika,kama maji ya bomba

Mi nataka wajue kwamba\ unanipenda niite babe (babe wanguu)
Na kamaaa ukiniposti snapchaat, niitee my (my wanguu)
One and only my love my sweeeeet (sweety wanguu)
Wakija kukutongoza wajibu we una mpenziii (mpenzi wanguuu)

Bomboclaaaaat…..