Mbosso – Fall Lyrics

Mbosso Fall Lyrics

Mbosso – Fall Lyrics

Mbosso Fall Lyrics

[Verse 1]
Heeeee! Lala Lala Lala Lala!
Aaaaaah Eeeeh!
Pendo Limenizidia
Acha Niseme Niseme
Dozi Imeniingia
Baby Jeteme Jeteme
Hapo Hapo Shikilia
Mwaego Ndo Penye Ndo Penye
Ngoja Subiria
Baby Niheme Niheme
Dereva Wa Moyo Wangu
Usinipeleke Puta Puta (Putaaa)
Taratibu Mwenzangu Penzi
Njja Yenye Matuta (Tutaaa)
Amepinga Nimepinga
Penzi Amuwezi Futa (Futaaa)
Nakula Kwa Raha Zangu
Nyama Mpaka Fupa (Fupaaa)

[Bridge]
Kisura Cha Upole Kama Mama Yangu
Taalalala
Unifunde Kwa Mkole Uwe Somo Yangu
Taalalala
Huba tulisosomole Chuzi Kwa Matarndu
Taalalala
Nile Bungo kwa Kidole Mambo Chambu Chambu

[Chorus]
Baby You Make Me (Aye Ayeee Aye)
You Make Me Fall in Love (Aye Ayeee Aye)
And 1 Go Tell My Mama (Aye Ayeee Aye)
You Make Me Fall In Love (Aye Ayeee Aye)

[Verse 2]
Pole Dear X
Mwenzako Nipo Salama Eeh Salama
Mambo YamaStress Nishasahau lzo Zama Eeh
Izo Zama
Aku Sizeeki Nadekezwa Utazani Mwana Eeh
Mwana
Tena Mchoyo Akiombeki
Pendo Sio Lakugawana Eeh Gawana
Eeeh!!!
Penzi si Lakudokoa Doko (Ooh Doko)
Nakula Kwa Kunyofoa Nyofo (Ooh Nyofo)
Kama Embe Nalipopoa Popo (0oh Popo)
Huku Tunajiphotoa Photo (Ooh Photo)

[Bridge]
Kisura Cha Upole Kama Mama Yangu
Taalalala
Unifunde Kwa Mkole Uwe Somo Yangu
Taalalala
Huba tulisosomole Chuzi Kwa Matandu
Taalalala
Nile Bungo kwa Kidole Mambo Chambu Chambu

[Chorus]
Baby You Make Me (Aye Ayeee Aye)
You Make Me Fall in Love (Aye Ayeee Aye)
And 1 Go Tell My Mama (Aye Ayeee Aye)
You Make Me Fall In Love (Aye Ayeee Aye)

[Outro]
Pole Dear X
Mwenzako Nipo Salama Eeh Salarma
Mambo YamaStress
Nishasahau Izo Zama Eeh Izo Zama

Written by; Mbosso
Released date; 19 November, 2020

Fall Lyrics Mbosso