Mbosso – Yalah Lyrics

Mbosso Definition of Love Album Lyrics

Mbosso – Definition of Love Album Lyrics

Yalah Lyrics by Mbosso

[Verse 1]
Nimesadiki ya wahenga
Penzi lina raha yake
Mzigo kwa tenga
Kimfaacho mtu chake
Mndenge nimekatwa ngenga
Aahh umatemate
Najinyenga nyenga
Maomao mao tate
Huwaga sionii
Ninavyoipanda milima
Ulimi sikioni
Mwili wote wanzizima
Mwenzenu sioni
Macho mawili yote sina
Tunaanza jikoni
Mpaka varandani twalindima

[Chorus]
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Penzi limenzidi yala yalaa yalaaa
Ni kubwa yalaa yalaaa
Zito yala yalaaa yaala

[Verse 2]
Tungezaliwa zamani
Ningesema penzi togwa
Tulinywe kibarazani
Tukitafuna maboga
Nimekipanda uwani
Kibustani cha uyoga
Tukishiba biriani
Baby tule mboga mboga
Sasa polisi wa nini
Nikikosa nikamate wewe
Mahakama ya nini
Nikikosa nihukumu wewe
Penzi chupa la balimi
Tuligide baby hadi tulewe
Vindege shorwe vya nini
Kifaranga unibebe we mwewe
Huwaga sionii
Ninavyoipanda milima
Ulimi sikioni
Mwili wote wanzizima
Mwenzenu sioni
Macho mawili yote sina
Tunaanza jikoni
Mpaka varandani twarindima

[Chorus]
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Penzi limenzidi yala yalaa yalaaa
Ni kubwa yalaa yalaaa
Zito yala yalaaa yaala

Written by; Mbosso
Released date; 9 March, 2021
Album/EP; Definition of Love 

Mbosso Yalah Lyrics

Mbosso Yalah Lyrics Translation In English

[Verse 1]
I believe in the patriarchs
Love has its pleasures
Load to separate
Suitable for his person
The bird has been cut off
Aahh umatemate
I deceive myself
Maomao mao tate
Huwaga sionii
As I climb the mountains
Tongue in the ear
The whole body is paralyzed
I don’t see you
Both eyes I do not have
We start in the kitchen
Until the slaves are weary

[Chorus]
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Love is more than just love
It’s great yalaa yalaaa
Zito yala yalaaa yaala

[Verse 2]
We would have been born long ago
I would say love togwa
We drank on the porch
We chew pumpkins
I climbed the yard
Mushroom garden
We are full of biriani
Baby eat vegetables
Now the police of what
If I miss you I will catch you
Court of what
If I do wrong, I will judge you
Love the bottle of balimi
We hugged the baby until we were drunk
Birds of a feather
The chick is carrying me
Huwaga sionii
As I climb the mountains
Tongue in the ear
The whole body is paralyzed
I don’t see you
Both eyes I do not have
We start in the kitchen
Until the slaves are in the field

[Chorus]
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Love is more than just love
It’s great yalaa yalaaa
Zito yala yalaaa yaala