Mbosso – Pakua Lyrics ft. Rayvanny - Find Out Lyrics Mbosso – Pakua Lyrics ft. Rayvanny - Find Out Lyrics

Mbosso – Pakua Lyrics ft. Rayvanny

Mbosso Definition of Love Album Lyrics
Mbosso – Definition of Love Album Lyrics

Pakua Lyrics by Mbosso ft Rayvanny

Eeiii Agaa
Kana Kiuno Laini Cha Kucheza Baikoko (Kokooo)
Nikikaona Natamani Tu Nichambe Dokoo (Dokoo)
Alooo Tena Tatu Kwa Mbili Hapana Si Kimoko
(Moko)
Aahaaa Chenga Kwa Mwili Kagere John Bokoo
(Chiiii Eehh Alooo)
Oohh Kanavyo Isheke Isheketua (Shekeee Tu)
Agaahh Kama Anapingili Anavyoicheketua
(Cheketu)
Asaa Nleteee NIetee (Niiwekeee)
Eehhh Leteee (Niiwekeee)
Ilete Mpaka Chinii (Niiwekee)
Unaogopa Nini (Niiwekee)
Ooh Baby NIetee NIetee (Niiweke)
Eehh Iletee Letee (Niiwekee)
Mpaka Juu Daliniii (Niiwekee)
Kusi Na Kaskazini

[Chorus]
Pakuaaa (Ooohh Pakuaaa)
Pakuaaa Pakuaa (Uno La Pochopocho)
Asa Pakuapakua (Eheeehe)
Pakua Pakua (Kama Kisamvu Cha Kopo)
Oya Pakua (Paku Ipakakutue)
Pakua Pakua Pakua
Pakua Pakua Pakua

[Verse 2 : Rayvanny]
Vanyy Boy Mmhh
Asaileee Ileteteee Mtoto Punguza Mapepeee
Achakitee Kiteteee
Nivunjevunje Niwe Kiweteteee Ayeeee
Oohh Kiportable Katoto Kamepunguaa (Sepetuu)
Kipele Kikiwasha Sikuni Nakakwarua (Keketuu)
Mtoto Kashika Fimbo Ya Babu
Namshikisha Adabu
Wasiotupenda Twawapa Tabuu
Tunawaimbia Taarabu (Awooo)
Hawanaa Hawana Lakusema Hawana
Hawana Aiiii Hawanaa Lakusema Hawanaa
Adidididii
Asaa Nleteee NIetee (Niiwekeee)
Eehhh Leteee (Niiwekeee)
Ilete Mpaka Chinii (Niiwekee)
Unaogopa Nini (Niiwekee)
Ooh Baby NIetee NIetee (Niiweke)
Eehh Ileteeletee (Niiwekee)
Mpaka Juu Daliniii (Niiwekee)
Kusi Na Kaskazini

[Chorus]
Pakuaaa (Ooohh Pakuaaa)
Pakuaaa Pakuaa (Uno La Pochopocho)
Pakuapakua (Eheeehe)
Pakua Pakua (Kama Kisamvu Cha Kopo)
Oya Pakua (Paku Ipakakutue)
Pakua Pakua Pakua
Pakua Pakua Pakua

[Outro]
Oya Baby
Sisy Dege Laachia Sa (Funga Mkanda)
Eehh Baby Sweety
Za Kushoto Kulia (Msambamsamba Weekaaaa)
Jamani Popoo Popooo (Amshapopo)
Nasema Popoo Popoo Leo Popo (Amshapopo)

Written by; Mbosso
Released date; 9 March, 2021
Album/EP; Definition of Love 

Mbosso Pakua Lyrics ft Rayvanny

Mbosso Pakua Lyrics Translation In English

Eeiii Agaa
Like A Soft Waist For Baikoko (Kokooo)
When I See It I Just Want To Dig Dokoo (Dokoo)
Alooo Again Three For Two No Not Kimoko
(Moko)
Aahaaa Chenga For Body Kagere John Bokoo
(Chiiii Eehh Alooo)
Oohh Kanavyo Isheke Isheketua (Shekeee Only)
Agaahh As He Resists
(Cheketu)
Asaa Nleteee NIetee (Niiwekeee)
Eehhh Leteee (Niiwekeee)
Bring It Down (Put It On)
What Are You Afraid of (Put Me)
Ooh Baby NIetee NIetee (Niiweke)
Eehh Iletee Letee (Niiwekee)
Up to Daliniii (Put It On)
South And North

[Chorus]
Pakuaaa (Ooohh Pakuaaa)
Pakuaaa Pakuaa (Uno La Pochopocho)
Asa Pakuapakua (Eheeehe)
Download Download (Like Coffee Grass)
No Download (Paku Ipakakutue)
Download Download Download
Download Download Download

[Verse 2: Rayvanny]
Vanyy Boy Mmhh
Asaileee Ileteteee Baby Reduce Mapepeee
Achakitee Kiteteee
I broke it I’m a defender Ayeeee
Oohh Kiportable Katoto Kamepunguaa (Sepetuu)
Scorpion Burns In The Sun Nakakwarua (Keketuu)
Baby Holding Grandpa’s Stick
I keep her polite
We Love Those Who Do Not Love Us
We Sing Taarabu (Awooo)
They have nothing to say they have not
They don’t Aiiii They don’t have to say they don’t
Adidididii
Asaa Nleteee NIetee (Niiwekeee)
Eehhh Leteee (Niiwekeee)
Bring It Down (Put It On)
What Are You Afraid of (Put Me)
Ooh Baby NIetee NIetee (Niiweke)
Eehh Ileteeletee (Niiwekee)
Up to Daliniii (Put It On)
South And North

[Chorus]
Pakuaaa (Ooohh Pakuaaa)
Pakuaaa Pakuaa (Uno La Pochopocho)
Download (Eheeehe)
Download Download (Like Coffee Grass)
No Download (Paku Ipakakutue)
Download Download Download
Download Download Download

[Outro]
No Baby
Sisy Dege Releases Sa (Tie Tape)
Eehh Baby Sweety
Left Right (Msambamsamba Weekaaaa)
Jamani Popoo Popooo (Amshapopo)
I say Popoo Popoo Leo Popo (Amshapopo)