Mbosso – Karibu Lyrics ft. Diamond Platnumz

Mbosso Definition of Love Album Lyrics

Mbosso – Definition of Love Album Lyrics

Karibu Lyrics by Mbosso ft Diamond Platnumz

[Verse 1 : Mbosso]
Ishafika Saba Sasa Tunakungojea
Imebaki Miezi Miwili Tu
Embu Siku Sogea
Tunashauku Na Bashasha Ya Kukupokea
Siyo mimi Na Mama Yako Tu
Na Bibi Anakuombea (Mmhh..)
Imani Yangu Inanituma
Unanisikia Baba Yoo (Baba Yooyooo..)
Nafuraha Yangu Dongo Kumung’unya
Anapobugia Mama Yooyo (Mama Yooyooo..)
Mmhh Dalili Waziwazi
Kuwa Muda Ushatawakar
Na Tamani Useme Zawadi
lla Acha Ninunue Vigari
Oohh! Kuna Shangazii Kibiti Kwa Mzee Kikari
Ukiota Meno Ataleta Viazi
Ule Mihogo Uwe Ngangari
Ule Mihogo Uwe Ngangari

[Chorus]
Nawaza Ntakupa Jina Gani (Taraatararalatara..)
Kwanza Karibu Duniani Baba (Taraatararalatara)
Kwetu Furaha lsyo Kifani (Taraatararalatara)
lla Kuna Mengi Duniani Baba (Taraatararalatara)

[Verse 2 : Diamond Platnumz]
Mmhhuuu..
Kwa Furaha Nilio Nayo
Ningechinja Ng’ombe Kwa Tambiko
lla Baba Yako Uwezo Sina
Pokea Uji Kwa Kijiko
Pokea Mwanangu (Ayooyooo..)
Tena Uwape Na Habari
Waropokaji Wapambe
We Ni Wangu Wa Halali
Wasije Dhani Vya Nyange
Dunia Ni Mafuriko Mvua Kote
Wanadamu Mioyo Ya Matope
Ukitukanwa Mwiko Usiogope
Jikaze Mwana Wa Dangote
Ooh! Wasimuone (Kimasomaso Wasimuone)
Wenye Jicho La Chuki
Wasimuone Mwanangu (Kimasomaso
Wasimuone..)
Oooh Ooh Oooh.. Wasimuonee eeh!
(Kimasomaso Wasimuone..)
Wenye Roho Mbayaa Wasimuone (Kimasomaso
wasimuone..)
Sa Ringisha Tumbo Tinga (Aaaii)
Sasa Baby Ringa
Waoneshe Ringa
Wadolishie Ringa
Sa Ringisha Tumbo Ringa (Ringa Sasa)
Ohh Baby Ringa (Ringa Wakuone)
Wao Si Wanazitoa Ringa
Asa Wadolishie Ringa Wakuonee Oooh Oooh!

[Chorus]
Nawaza Ntakupa Jina Ganii (Jina Ganii Ooh Ooh
Oo.. Taraatararalatara)
Kwanza Karibu Duniani Baba (Karibuu Baba Kwetu
Ni Furaha Taraatararalatara)
Kwetu Furaha lsyo Kifani (Ni Furaahhh
Nifuraaahhh Taraatararalatara)
lla Na Kuna Mengi Duniani Baba (Ayoyoyoo
Baba..T araatararalatara)

[Outro : Mbosso & Diamond Platnumz]
Leo Namnema Mwanangu
Ayoyooo Kwa Baby Shower
Oohhh Rafiki Kwa Ndugu Zangu
Ayoyooo Kwa Baby Shower
Furaha Na Uzazi Wangu
Ayoyooo Kwa Baby Shower
Naringa Ringa Na Mwanangu
Ayoyooo Kwa Baby Shower
Ayoyooo Kwa Baby Shower
Ayoyooo Kwa Baby Shower

Written by; Mbosso
Released date; 9 March, 2021
Album/EP; Definition of Love 

Mbosso Karibu Lyrics ft Diamond Platnumz

Mbosso Karibu Lyrics Translation In English

[Verse 1: Mbosso]
It’s Seven o’clock Now we’re waiting for you
Only Two Months Left
Embu Day Move
We look forward to welcoming you
It’s Not Just Me And Your Mother
And Grandma is praying for you (Mmhh ..)
My Faith Sends Me
You hear me Baba Yoo (Father Yooyooo ..)
My Happiness Clay Grinding
When he chews on Mama Yooyo (Mama Yooyooo ..)
Mmhh Clear Signs
Be Time Ushatawakar
And Desire To Say Gifts
lla Let Me Buy Vehicles
Oohh! There is Aunt Kibiti For Mzee Kikari
If You Dream Of Teeth He Will Bring Potatoes
Ule Cassava Uwe Ngangari
Ule Cassava Uwe Ngangari

[Chorus]
I Think What Name I Will Give You (Taraatararalatara ..)
First Welcome to Earth Father (Taraatararalatara)
For Us Unparalleled Happiness (Taraatararalatara)
There is a lot in the world, Father (Taraatararalatara)

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Mmhhuuu ..
For The Happiness I Have
I would change the cow for a sacrifice
I do not have the power of your Father
Receive Porridge With a Spoon
Receive My Son (Ayooyooo ..)
Also Give Them Information
Decorative Reporters
We Are My Legitimate
Do Not Think of Nyange
The Earth Is Flooded All The Rain
Humans Hearts of Mud
If You Are Insulted Do Not Be Afraid
Be the Son of Dangote
Ooh! Don’t See Him (Academically Don’t See Him)
With a Hate Eye
Don’t See My Son (Academically
Don’t see him ..)
Oooh Ooh Oooh .. Wasimuonee eeh!
(Academically Don’t See Him ..)
Those With Evil Spirits Should Not See Him (Academically
do not see him ..)
Sa Ringisha Tumbo Tinga (Aaaii)
Now Baby Ringa
Show them Ringa
Wololishie Ringa
Sa Ringisha Tumbo Ringa (Ringa Now)
Ohh Baby Ringa (Ringa Wakuone)
They Don’t Give Rings
Asa Wadolishie Ringa Wakuonee Oooh Oooh!

[Chorus]
I Think I’ll Give You A Name (Name What Ooh Ooh
Oo .. Taraatararalatara)
First Welcome to Earth Father (Welcome Father to Us
It’s Fun Taraatararalatara)
To Us Happiness Is Exemplary (It’s Fun
Nifuraaahhh Taraatararalatara)
Cry And There Is So Much In The World Father (Ayoyoyoo
Baba..T araatararalatara)

[Outro: Mbosso & Diamond Platnumz]
Today I Love My Son
Ayoyooo For Baby Shower
Oohhh Friend To My Brothers
Ayoyooo For Baby Shower
Happiness And My Parenting
Ayoyooo For Baby Shower
I look at my son
Ayoyooo For Baby Shower
Ayoyooo For Baby Shower
Ayoyooo For Baby Shower