Mbosso Pawa Lyrics

Kamusi namaliza kurasa kukusifia ..
Matusi naiona Basata wakinifungia
Theluthi hizi raha ninazopata mia fil mia Aah ..
Mjusi ukuta wa plasta nauparamia ..

Na kama penzi ni chupa la bia ..
Nipe sana niwe mlevi niyumbe yumbe njia ..
Kwa maana we mlezi na unanijulia ..
Hawana hawawezi pakukuibia dear

Pawa pawa naishiwa pawa ..
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa ..
Pawa pawa naishiwa pawa ..
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa

Pawa pawa pawa naishiwa pawa ..
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa ..
Pawa pawa naishiwa pawa ..
Penzi lako mizani mizito naishiwa Pawa

Nilifeli secondary kwendaga Chuo ..
Ila Kufeli penzi lako sina hilo chaguo ..
Yeremia mstari ni funue ufunuo oooh ..
Nikupambe kwa matari mwilini iwe nguo ..

Na kama penzi ni chupa la bia ..
Nipe sana niwe mlevi niyumbe yumbe njia ..
Kwa maana we mlezi na unanijulia ..
Hawana hawawezi pakukuibia dear

Pawa pawa naishiwa pawa ..
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa ..
Pawa pawa naishiwa pawa ..
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa

Pawa pawa pawa naishiwa pawa ..
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa ..
Pawa pawa naishiwa pawa ..
Penzi lako mizani mizito naishiwa
Pawa