Mbosso – Mtaalam Lyrics - FindOutLyrics Mbosso – Mtaalam Lyrics - FindOutLyrics

Mbosso – Mtaalam Lyrics

Mbosso Definition of Love Album Lyrics
Mbosso – Definition of Love Album Lyrics

Mtaalam Lyrics by Mbosso

[Intro]
Na mbosso khan tena
Sound by abbah

[Verse 1]
Unakila sababu
Ya kusimama kimasomaso
Mungu kweli waajabu
Kanionesha kwa yangu macho
Chukua zangu swawabu
Mi nibaki na dhambi zako
Unishikishe adabu
Mida yakulala nitokwe jasho
Mi sijui kupigana
Mwili wangu wa mapenzi dear
Tusipende kugombana
Mi mwepesi kulialia
Si kujibanabana
Raaha ya penzi kujiachia
Kwako mahututi mama
Nimekufa nimejifia

[Bridge]
Eeehhh ehhh
Nalambishwa asali
Kwenye mzinga wa nyuki
Tamu ni hatari
Nalambishwa asali
Nachezeshwa buzuki bidu chalichali

[Chorus]
Nimempata
Nimempata mtaalamu nimempataaa
Nimempata mtaalamu nimempataaa
Nimempata mtaalamu nimempataaa
Nimempata mtaalamu nimempataaa

[Verse 2]
Mi mtanzania wa halali
Lla chembechembe za india
Mungu kaninyima ufahari
Lla kwa huba najisifia
Sitokuhonga magari
Lla mahaba utasazia
Penzi kachumbali kwa ugali
Na pilipili ya kusagia
Haa hee..!!
Nikuite nani
Majina yote nishamaliza
Haa hee…
Wangu waubani
Umeweza kunituliza
Haa heee..
Mambo ya chumbani
Yani nalala huku napulizwa
Haa heeee…
Penzi zito tani
Napewa raha kupitiliza

[Bridge]
Eeehhh ehhh
Nalambishwa asali
Kwenye mzinga wa nyuki
Tamu ni hatari
Nalambishwa asali
Nachezeshwa buzuki bidu chalichali

[Chorus]
Nimempata
Nimempata mtaalamu nimempataaa
Nimempata
Nimempata mtaalamu nimempataaa
Mtaalam wa mapenzi
Nimempata mtaalamu nimempataaa
Fundi wa mafundiii
Nimempata mtaalamu nimempataaa
Wallah nimempata

Written by; Mbosso
Released date; 9 March, 2021
Album/EP; Definition of Love 

Mbosso Mtaalam Lyrics

Mbosso Mtaalam Lyrics Translation in English

[Intro]
And mbosso khan again
Sound by abbah

[Verse 1]
You are recording the reason
To stand academically
God is truly wonderful
He showed me with my eyes
Take my reward
I remain with your sins
Keep me polite
When I go to bed I sweat
I don’t know how to fight
My body will dear
We do not like to argue
I’m quick to cry
It’s not self-deprecating
The pleasure of love to let go
To you seriously mom
I’m dead and dead

[Bridge]
Eeehhh ehhh
I am addicted to honey
On the hive
Sweet is dangerous
I am addicted to honey
I’m playing buzuki bidu chalichali

[Chorus]
I found him
I have found a specialist I have found him
I have found a specialist I have found him
I have found a specialist I have found him
I have found a specialist I have found him

[Verse 2]
I am a legitimate Tanzanian
Lla particles of india
God deprives me of glory
Lla for huba I brag
I will not bribe you
Lla love will last
Love the porridge for porridge
And ground pepper
Haa hee .. !!
Who do I call you?
All the names are finished
Haa hee …
My incense
You managed to calm me down
Haa heee ..
Bedroom stuff
I mean, I sleep while I’m blown away
Haa heeee …
We love tons
I am given the pleasure to continue

[Bridge]
Eeehhh ehhh
I am addicted to honey
On the hive
Sweet is dangerous
I am addicted to honey
I’m playing buzuki bidu chalichali

[Chorus]
I found him
I have found a specialist I have found him
I found him
I have found a specialist I have found him
Will expert
I have found a specialist I have found him
Technician
I have found a specialist I have found him
Wallah I found him