Zuchu Hujanizidi Lyrics (feat. D Voice)

Yani mara kuma ungekuwa mbaya alafu ungekuwa na hela
Lakini tatizo lako mbaya alefu hauna hela
Ni mara kumi ungekuwa kijusu alafu ungekuwa na hela
Ila attizzo lako kijuso alafu hauna hela

Ah, sa mbona unapata tabu kujichubua
Ntakaona unavosikujibinua
Beb wangu ajadata nachoreka ka hujajua
Ah data na mambo madam nayo mgeni
Nkwambie wewe

Kwa uzuri hujanzidi mimii
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Kwa uzuri hujanzidi mimii
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu

Na huyo beb Wake alikuwa wa kwangu kabla ya kuwa wa kwako
Mbona uniambie kitu kuhusu yeye
Hata kulala nlilala kwangu kabla ya kulala kwako
Fala hunitishi umbwa wewe

Oya weeh, hakuna udichonizidi cha knipa stress
Wenye tako ya kuni mie mwenzako ya gesi
Mwenzako gulungu nacho sihuwanga wa kufeki
Maana mwenzangu una rangi nyingi ka combatí ya jeshi
Sa abonna unapata tabu kujichubua

Yakoo na unaforce kujiinua
Beb wangu hajadata na chura ka hujajua
Nadata na mambo mqatatu unayoongea

Kwa uzuri hujanzidi mimii
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Ooh kwa uzuri hujanzidi mimii
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Haunitishi hunisumbua, hujanzidi mimi
Jiangalie kuvaa hujui, hujanzidi shoga yangu

Wanangu baado sijaskia shangwe kama umeme umerudi (Wooo)
Masela bado sijaskia shangwe kama umeme umerudi (Woo)
Aii mara tena umekataa (Aah)
Mara tena umerudi (Wuoo)

Wewe mara tena umekataa (Aah)
Twende show me gidhi-gidhi, gidhi
Twined dhigidhi-gidhi, gidhi
Twende gidhi-gidhi, gidhi, gidhi wee
Gidhi-gidhi, gidhi

Kwanza muone ampepandwa na ibilisi
Alikaa pembeni hivi sasa ameingia kati
Ona mwili mkubwa kumbe kibonge mwepesi
Kulia kushoto, dunda kama kitenesi
Gidi, gidi, gidi

Gidhi, gidhi, gidhi
Twende gidhi-gidhi, gidhi, gidhi wee
Gidhi, gidhi, gidhi

Oya we
Kweli goma noma kwani amelipiga nani
Kwanini anafanya wanangu mpaka wanabamba shetani
Kweli goma noma kwani amelipiga nani
Maana wanatoa mashati kwenye miti wanachuma majani
Oya wanachuma majani
Wanaletya majani mama wanachuma majani
Wanaletya majani oyaa