Zuchu Mama Lyrics
Rafiki yangu kwenye shida, rafiki yangu kwenye raha
Niko naye kila mida, hajawai nikataa
Yuko radni mi kushiba, yeye ndo ashinde njaa
Sio mwengine ni mama
Labda nikupe picha
Uone nafasi yako manaa
Kikukosa kwenye maishaa
Eeh kiukweli itanichanganya
Eeh
Mitihanii
Yake yangu mimii
Nikulipe ninii
Kiasi gani mi sionii, oh mama
Mamaa
I love you mamaa
Mamaa
Nakupenda sanaa
Mamaa
I love you mamaa
Mamaa
Nakupenda sanaa
Eh Mola uliyejaa rehema natanguliza shukrani (Asante)
Bila hutu mama mwema angekuwa mgeni wa nani (Asante)
Mnaowanjia heshima nye mnaezaje kwani
Mimi wangu akinuna moyo unakosa amani
Mitihanii
Yake yangu mimii
Nikulipe ninii
Kiasi gani mi sionii, oh mama
Mamaa
I love you mamaa
Mamaa
Nakupenda sanaa
Mamaa
I love you mamaa
Mamaa
Nakupenda sanaa
Hey mamangu njoo tucheze kandili (Kandili katikatikati katikati)
Cheza kandili (Kandili katikatikati katikati)
Tingiza kiwiliwili (Kandili katikatikati katikati)
Kaka (Kandili kati)