Zuchu Cherie Lyrics (feat. Lava Lava)
Mwenzako najiuliza sizi umeubwa mda gani
Uzuri Dako umeupata Uturuki au kwa mama nyumbani
Nataka nkupe visa au CV uwe wangu rubani
Maana kwako sifurukuti (Sina ujanja yani)
Ah, ah silali nikasinzia, kutwa uko kichwani darling
Moyo ungeluwa ngo ningekupa uvae
Ama Mungu angenijalia ningekuwa tajiri madolali
Basi ningekupa rupia maisha nikuvae
Kutwa nikijipitisha kwa mitandao kukufungua
Yani unawakomesha, Insta, TiTok unawasubua
Nikujicommentisha haki ya Mungu wanizuzua
Vifilter unavyojiwekaga, kujiedit na vimaua
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Ah, navyokupenda, mwenzako najishangaa
Navyokupenda, mwenzako najishangaa
Sijui nikuite nani (Sherrie ama baby)
Nikuite nani Lazizi (Sherrie ama baby)
Nyonda wa huba (Sherrie ama baby)
Eti nikuite nani (Sherrie ama baby)
Mami nikuite
Sona baby sona
Niongee kwa kilugha gani unielewe
Mwenzako nkikuona
Moyo unacheza buga unacheza msere
Aii umenipa penzi mvinyo
Na mie nimelewa tikitiki
Aii ukinishika cha mwino
Aii kilele mpaka kibiti
Aii wewe
Majii jamani maji (Yanaufuata mkondo)
Speed yake ya boda sio ya kibajaji (Natumii mgongo)
Majii jamani maji (Yanaufuata mkondo)
Mwendo wake ya boda sio ya kibajaji (Natumii mgongo)
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Ah, navyokupinza, wallahi najishangaa
Navyokupenda, mwenzako najishangaa
Eh asa nikuite nani (Sherrie ama baby)
Need mkali ya ini (Sherrie ama baby)
Sherrie na ngai, my baby (Sherrie ama baby)
Eti nikuite nani (Sherrie ama baby)
Asa baby ringa (Ringa, ringa ae) ringa baby (Ringa, ringa ae)
Ringa baby (Ringa, ringa ae kwa mgongo)
Katika wakuone (Ringa, ringa ae) ringa baby (Ringa, ringa ae)
Ringa baby (Ringa, ringa ae kwa mgongo) kata wakuone