Zuchu – Kazi Iendelee Lyrics

Zuchu Kazi Lendelee Lyrics
Zuchu – Kazi Iendelee Lyrics

Kazi Iendelee Lyrics by Zuchu

Paukwa pakawa leo nina hadithi
Nataka kusimulia nataka kusimulia
Ilikuwa sawa kumbe kuzaliwa binti
Leo mi najivunia, leo mi najivunia

Alianza oh makamu
Ni kubwa yake nidhamu
Katiba ikamlazimu
Kuingia madarakani

Jina lake (Amhaa)
Samia Hassan Suluhu (Amhaa)
Ndo Rais wangu (Amhaa)
Ndo Rais wa Tanzania

Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Kazi iendelee

Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Kazi iendelee eh eh eh

Ee Mola wakimtoa imani
Mpe nguvu na ujasiri
Mkumbushe yeye nani
Yeye ni mama kamili

Harambee Harambee, mama tumpambe
Anaweza mama, naweza sana

Jina lake (Amhaa)
Samia Hassan Suluhu (Amhaa)
Ndo Rais wangu (Amhaa)
Ndo Rais wa Tanzania

Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Kazi iendelee

Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Kazi iendelee

Written by; Zuchu

Zuchu Kazi Iendelee Lyrics