Zuchu Makonzi Lyrics

LG iih
LG aah
Aah, ah-ah

Ndo nkakuambia ataniacha
Haah, heeh unachekesha sana
Hizo ni noto za early night
Haaa, heeh anakudanganya

Hata uppe nini huning’oi
Unajisumbua mwanaa
Huyo bila mimi hatoboi
Nimemshika pabaya

We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga

Na nikikukutana (Patachimbika, nitakutia makrisu)
Nitakutikisa
Patachimbika, nitakutia makrisu
Nitakutikisa

Kwanza unitwambie umenizidi nini
Kubattle na mimi ujue nawenzako tisini
Uliza uambiwe mimi motto wa nani (Hapa)
Ukijifanya chow mi mwenzako kunguni (Una nini)

Huna jipya naenda kwama hohoo
Kikisafishwa labda ndo update sokoo
Huna jipya naenda kwama hohoo
Kikisafishwa labda ndo update sokoo

We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga

Na nikikukutana (Patachimbika, nitakutia makrisu)
Nitakutikisa
Patachimbika, nitakutia makrisu
Nitakutikisa