Zuchu Mwizi Lyrics
Do you know me
The way you call me your queen
Mwenzako I feel so happy
Happy
Do you know
That you’re my favourite you’re my bee
Unakuanga so lovely
Lovely mmh
Ah, jamani mwenzenu moyo kaniibia
Nahisi kihirizi ah, kanichimbia mama
Nauchizi Sio ucheshi nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, kwake nimepaliwa
Aki ya mama chochote nitafanya (Nitafanya)
And I swear to God kwako hoi nyang’anyang’a (Nyang’anyang’a)
Aki ya mama chochote nitafanya (Nitafanya)
And I swear to God kwako hoi nyang’anyang’a (Nyang’anyang’a)
Ooh, tazama ndege angani wanaimba na kucheza
Zuzuzu wewe waniukiliaz we
Niliomba dua nami nipate wakunipendeza
Mungu tu aliye mwema amenipa eh
Na mimi Mungu wetu mwema ndo amenupa weh
Oh malijani, huoni ka tunanyimana
Wenyewe tumetulizana, tibia vimo twafanana
Saana mapenzi bwana hata tugombane mchana
Usiku tumeshapatana twacheka na kutekenyana
Sanaa
Jamani mwizi moyo kaniibia
Nahisi kihirizi ah, kanichimbia mama
Ndo maana uchizi sio ucheshi nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, ah nimepaliwa