Weusi – Air Weusi Lyrics

Weusi Air Weusi Album Lyrics

Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Air Weusi Lyrics by Weusi

[Bridge]
Ey, Watoto wanainama kuokota, Kama hela imedondoka,
Si tulisimama kuzifuata,
Kama ndege inaondoka,

[Chorus]
Air Weusi, departure Flight time, departure,
I ain’t got a license so I can drive you crazy, Shorty
Shorty like madee kamwaga pombe yangu, Kitaa flani cha Mbezi,
Mbezi ya chini,
Crazy lakini (Uuhh),
Akaniambia baby njoo na lighter,
Leo nataka tuifanye kama cypher,
Anapendaga threesome nikaleta Weusi, Tukabang three times
akaja Bonta, Four time akaingia Lordy,
So issa five time, show time,
Ile saa likaamka dude,
Tukacome ni balaa (Uuuh)

Flight time, flight time (yeah),
Sina muda wa kujadili time (yeah),
Kwenye hela mrembo hakosi time (yeah), Kina
Kardashian
Wenye mimba za chuki ni wa Kanye,
Mkanye mkanye, Mkanye superstaa asijifanye,
Umaarufu una mwisho hauna kamwe,

Mr mabig chicks pakia bags ma,
Air Weusi ndege imejaa manyota, Fasten your
seatbelts shorty we fly high,

[Bridge]
Ey, Watoto wanainama kuokota, Kama hela imedondoka,
Si tulisimama kuzifuata,
Kama ndege inaondoka,

[Chorus]
Air Weusi, departure Flight time, departure,
I ain’t got a license so I can drive you crazy, Shorty
Shorty like madee kamwaga pombe yangu, Kitaa flani cha Mbezi,
Mbezi ya chini,
Crazy lakini (Uuhh),
Akaniambia baby njoo na lighter,
Leo nataka tuifanye kama cypher,
Anapendaga threesome nikaleta Weusi, Tukabang three times
akaja Bonta, Four time akaingia Lordy,
So issa five time, show time,
Ile saa likaamka dude,
Tukacome ni balaa (Uuuh)

As we proceed to give you what you need,
Ukaguzi wa kuingia kwenye hili pipa ni mkali,
Suspect number one, snitch kaa mbali, Suspect
number two, uchawa okay,
Suspect number three, uchawi sawa sawa,
Huwezi kwenda juu kama huna ramani, Airforce
Weusi tunaishi hewani,
Ukiingia kwenye hili pipa unaenda duniani, Sio
kwenda mjini, unaenda duniani,
Aseh ngumu kupanda,
Lakini ngumu ni kutua,
Kila pass inazingatiwa,
Hakuna wa kubutuwa,
Haitishwi na mawimbi hii sio mashua, VIP tupo
majita na ndio washua.

[Bridge]
Ey, Watoto wanainama kuokota, Kama hela imedondoka,
Si tulisimama kuzifuata,
Kama ndege inaondoka,

[Chorus]
Air Weusi, departure Flight time, departure,
I ain’t got a license so I can drive you crazy, Shorty
Shorty like madee kamwaga pombe yangu, Kitaa flani cha Mbezi,
Mbezi ya chini,
Crazy lakini (Uuhh),
Akaniambia baby njoo na lighter,
Leo nataka tuifanye kama cypher,
Anapendaga threesome nikaleta Weusi, Tukabang three times
akaja Bonta, Four time akaingia Lordy,
So issa five time, show time,
Ile saa likaamka dude,
Tukacome ni balaa (Uuuh)

Upasspoti kwenye begi kuna peni, kuna vyeni,
Kuna ten millioni kwenye small cases,
VIP niko peace, me na pisi fulani kali, Nikipee
mdomoni, N**** no offences,
Maduu wanarushwa kwenda juu ya mawingu, Futi
fulani sio mambo ya kurushwa fences, Ronaldo
wa kwenye rap biti ikiwa boombap, Nikitua unajua
me nafanya messes (aahh), Latua kwenye maji
pia kwenye lami,
Ndege ili la bata pia la vitani,
Huwezi ukawasikia rappa dummy dummy,
Ikiwa kuna shari latua nikani (hatua vitani),
Kiwanda ni cha mtaa hili ndege lilikopaa kutoka
sinoni (kutoka sinoni), Madini mpaka kung’aa ni
mpaka umekomaa yatoke shimoni (yatoke
shimoni), Ndege linakopaa inamaanisha kababaa
sishuki motoni,
Ooh Air Weusi

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Air Weusi Lyrics