Weusi – Mbupu Lyrics

Weusi Air Weusi Album Lyrics

Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Mbupu Lyrics by Weusi

Wanene, music baby,
Let me vibe with ya,
A city in the house, eey Weusi,
Eeh

Ogopa technologia huwezi kata mkanda,
Kanda zote zinatupenda toka enzi ya kanda, (naam)
Bado tu mtasema tunaleta ukanda,
I have been there, done that
Hakuna blunder,
Kama unaujua uchawi, basi we ndo mganga (ee)
Rasta, mweusi (….),

Salad for days, amma vegetarian
Kirusi cha upendo, wananiita carrier (eeh)
My shit is classic, ni level za Neria (Mtukudzi)
Naachia mlinde game kaeni sungusungu,
Mikataba bila malawyer ni kizunguzungu,
Mtakula donge nono ila vidonge vichungu,
Mayai mawili yaliyotoka unasema ni mbupu,

Sijaanza kuwa kimbiza wanatoka mkuku,
Kipande hiki hawakai mapanya wa buku,
Ikisambaa utasikia, wamechanjia muku (wewee)
Huwezi tabiri sijagi formal, kila subira zina kikomo
Mi na subira, Sina kikomo
Kuichunga tabia chunga mdomo,
Tafuta kitabu joh, ni kisomo

Hatuwapi sare, hakuna mshono ee (no no no noo)
Papa don mwamba code Medellin,
Flow zinafungua milango, Lamborghini
Papa (…) gani sifa za majini,
Papa nyanyua vijana ndio mambo ya mjini,
Joh ni pamba kali bana, sikai kabatini
Yeah,

Nazikeketa hizi shida kama wakurya,
Maisha ya mchuzi huishia kwenye sufuria, Mbinu
bora ya ulinzi ni kushambulia,
Na maspeaker kama bunge siwezi tulia,
Bei ya mkaa haiwezi fanana na gesi,
Kama unamajibu huwezi faulu kuguess,

Kesi ya madokta siwahusishi ma nesi, Hakuna
mwenye kinga ya kukinga bless,
Na nipo juu ingawa nakanyaga aridhini
Sina uswahili ingawa nipo uswahilini Najilipa kila
mwezi sio kima cha chini,
Za mwizi arobaini, zangu mimi thelathini,
Ukimaliza kulia endelea na vita,

Shetani akikupitia unamwambia pita, Tunakunja
mahela hatukunji ndita,
Simu tukizima watazimia senorita,
Maflow ni juju power, the black Jack Bauer, Adam
(…) hawa humu hamkai chawa,
Moja hauwezi igawa, ndo maana wanajigawa
Mmoja akiipata, wengine wanapagawa
Hiki chama kigumu, kushika hiyo power Sifanyi
kama kawa, tulia lamba dawa
my people come first

Kama nikikosa kwa Mungu nitaconfess,
Weusi all size haikwepeki converse,
Ukiridhika na mahindi hupagawi na cornflakes,
(…) tu twenty twe we ni mtete,
Uniite kijugu kinega, ama mtefe,
Bado maduu nawavuta kama mpepe (aha),
Na bado dough nazidaka kama ni mtele,
Hamnaga mchugah ree wee, hizi huaga hazivumi we hee

Hili jiwe fatuma wee (eeh), na hizi ndo ni bumale (ale bumaye)
Unataka kuuza uza au unatafuta maisha,
Siwezi kumficha ficha na ndio mke wa maisha,
Hip hop wanamshika Shika alafu hawawezi mfikisha,
Na mimi na hakikisha cos pete nimemvisha,
Yani tundu limebana na mi ndo nafikicha,
Yani che che che che che che chaa, elekeza shoti
kwangu pyo pyo pyo pyo pyoo Ruhusu nitoe
mbwa wangu woo woo woo

Utamu umebakia kweusi wanatema machicha, My
shit is ugly wauza sura wanaficha,
Hii ndo ile tuition ya kufundisha maticha,
Watoto hawawezi chamba hiyo inakupa ishara gani,
Huwezi kunya ukiwa umelala, utajinyea kitandani

Na wazazi hatupendi hiyo vitafwata viboko yani
fimbo (fimbo), Utasikia vijana wamerudi chimbo (hahaha),
Si toka mbuguni tukiingia mshindo (mererani),
We fanya mpango tu ukamate ()ingo,
Uone kama utasema kuna binti maringo,
Mkicritisize mnafiki () hamfiki size mkianalyse,

Mna mkitelevise tunarealize, kweli viazi (potatoes)
Wakati wakina chakubanga waki bangaiza,
Maswala ni real estate na mabangaiza ,
Safari haisimami mjomba kwa nguvu za giza,
Ni baraka za mwenyezi Mungu ndo amegonga visa,
Na hawawezi pongeza ukipata vema, so dawa yao
ni kuruduia tena Nawarudisha shule mi mpata
vema, unajua kilicho mpata mkataa pema (wee)

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Mbupu Lyrics