Weusi – Weusi Interlude Lyrics

Weusi Air Weusi Album Lyrics

Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Weusi Interlude Lyrics by Weusi

GNAKO
Mmmmh Goncha Music Baby, Weusi aaaaii
Wanene sort it off
Una credit mtaa umezima data, Ufiki wami mzee mwisho mkata
Najiona vina ila vinaukata vibao vya weusi watoto vibao kata
Nipo na macret kwa bars wanayumba haswa kwetu mwembe yanga leo simba kapakatwa
Contract killer nobody safe top shatta, hatuitoi contact wala link kwa masaka

Wavivu wa kuchimba mtakunywa maji taka chukueni vitiki tunawapiga tiktaka
Tupo magetoni tuna cheka chris tucker,
Udaku namedia ndotumefikia hapa mmmh tunauza mziki
Mnauza na mwili pia na hizo picha za utupu mnaji brand dear
sitaki hizo meza zenye offer za beer kama
mipango hamna mimi na wakatia Mnachopenda
kuona tukipiga makasi wanafki mlale salama
naweka mpakanjia mkiacha kukamia mtaanza
Shika mia ukila na wakubwa siyo kufakamia

LORD EYEZ
Mmmmh yeeeaaah, Tuna set bars ingia mtaa kwa
mtaa single zimetosha album ziingie kitaa,
Uliimba nyimbo gani tena mbona kichaa au
unamzungumzia nani wewe ni hizi namba au ndo
walewale wewe niko najipanga, Hiyo hamna story
bingwa wa kujieleza na huyu Nai mbishi mbona
kama Nikki, Maujanja tuna supply wengine yeye
hafiki, Sisi tunaweka levels muziki na upimp
muziki ni audio au video unauliza huyu nae
mulemule kila siku vilevile y'all sound the

same mnaimba vilevile, Hamna jipya kiki zenu ni
zilezile hamna MC kwenye MIC sahizi single
haijaisha insta unataka kutease mapichapicha
ndokitu mnauza siku hizi, Baba wa hardcore
mnatamani mnizibe koo kweli hardcore kilingi ka
kkoo Baba wa ukoo nawaaga kisosoo na leo
nawaachana hamna nafasi kubanana, Fake kwa
wasichana kwa kina mama pata laana wallet
zinapanda mbele yetu hung’oi mwana chupi
ndoinabana hewani haujanenepa bana

NIKI WA PILI
Yeah I’m a big michi demu dichi simweki ndichi
Mi ni ticha nikivua sipigi ndichi, na siachi pengo
nikifa nishaziba nchi niite saa wasalimie
masnichi, naskia kutukumbusha mmekula nia, 0k
Sisi tunakula bia, mko far tupo near, na msipokaza
tutawakazia, wana tungo nyingi zimekosa manii,
hazitungi mimba zimeshika money, tukipigwa kiss
wana kisirani, wenye kismati tupo kisimani, demu

kama sio mkali anakamia, ukiona mwana
anajisifu ana kibamia, ndoto yako kama huioti
umeilalia, moja yako kama haikai umeikalia Sipigi
tena shiti siku izi ni visigino, Sina watu fake
tabasamu ni orginal, tukutane banki ni macheki
namwaga wino, mambo ni ufundi ka wajina
wangu robinho , mnunulie nguo tutamvua
akishavaa, tukishasimama tutasema baby kaa, na
tukishachoka tutapanda lako car, endelea
kuvimba ukipita kwa kitaa

JOH MAKINI
Jinsi niko nyeupe kama Sina loa, papa don
mwamba wanasaka madoa, wanaulizia ndoa,
papa zinaloa, kapa nawatoa, kapa ni kupoa,
mambo ni ya moto, hakuna kupoa, huku
wanataga, pale wanatotoa, nachukua mazaga,
naenda kupoa, biti linasaga, flow zinakoboa, we
hujui atura, kuchachu nitokako uliza waturu, na
kuhusu kuwamada Sina shaka Zulu, na ukiingiwa
mashaka ujue ushajizuru, hio kama umepigwa
drip za mololo, hawatii mikono mikono mfololo,

na kwa hii mikono mfololoo, na kwa hii mikoni
kujeni msororo, hapa majembe yanatii mi ni
sororo, kata wenge mi ni cbg hushata, ukiulizwa
nani alikudondosha ni rapcha, ety hii ni kama ile ni
pacha, tunavyowaondoa kwenye ramani
departure, watamaduni si ndo tunatunza hii
culture, wape Habari wachuuzi halivuji pakacha,
malalamiko mengi mnaleta utata, mc(s) wenu
wakali tunapiga msasa

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Weusi Interlude Lyrics