Weusi Air Weusi Album Lyrics
Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Machete Lyrics by Weusi

[Chorus]
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over

Machete
When we show up, when we show up Machete
Tukitokea, wamepotea Machete
Nikutakata, kukatakata Machete
When we show up
Leta watoto wanyonye pinacolada

Watu wameminya ma prada gucci ma….
wali….vitara kisha vipara
Vyuma moto, nyuli nyuli sio viparara
Hapa kunukia usilete harahara
Mezani soma ishara kwa manyapara
Wazee
Tz tu Kampala tukutane huko, nikuparadiso

Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over

Yeah, go
Waswahili wananiitaga mi bwashee
Mashabiki wanasemaga kiwashee
Baby baby wananipaga nipashee Kimasai wananiitaga lalaashee
Baby wako hajanipa wiki
Sana sana kanipa tiki
Mi navina na nata mziki
Na nina pochi nang’ata dhiki
Pombe maji inabidi tuogelee
Pisi kali inabidi isogelee
Wenye chuki inabidi waongelee
Mi siachiki inabidi tuendelee

Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over

Ukiona tunavuna ujue ndo tulio lima
Na shamba liko mjini hapa mzizima
Washamba hapa mjini ndipo wanapozima
Mangoima hawanisomi hizi tungo wima
Tuko ndima, mangirimaa, am chilling in the counter with the chuggah queen
Mimi mars,
A-city bars A-city kazi, A-city kazi
Fyonza mabaki, funza mawaki, flow nina attack
Ki-iluminati

Machete, Machete, machete (machete)
Mapimbi nakata machete (machete)
Wanafiki nakata waletee
I say, Ambia ma waiter walete

[Bridge]
Waoo
Ndo mwisho wa Machete
Tukitokea, wamepotea
Mwambie akizingua tu na switch
Mi na ndizi kisukari asali mbichi
Askari wapo lakini hawazimi mziki
Hatari hapo ni kwamba ma boss Sisi Tembeza
mwenge unawaka mpaka boko Na tukitokea ndo
linapo panda joto
Mboga zote mbuchi chini bakayoko (weusi)
Twazoa biashara sokomoko

Kila mboga ni biashara, target ni ankara
Ambia hizo baby zitaloose
Tukihama hapa ni muamala, show nitatawala
Nanoa visu vikali toka juzi, baby kila mtu
anatuangalia, hadi najishtukia Usijali, uko na
namba moko Tanzania
Kuachwa kumbatia

Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over
Bend over

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Machete Lyrics