Weusi – Iko Mambo Lyrics

Weusi Air Weusi Album Lyrics

Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Iko Mambo Lyrics by Weusi

Samahani, Namba unayopiga Umepigwa,
Iko mambo,
Iko mambo hapo,
Eeeh, eeeeeh ,eeeeh, eeeeeehh, Sexy sexy
Angelina,
Sexy mama I’m the winner, Roho mbaya mama
huna, Umezama mzima mzima eeh,
Eeeeh, eeeeeh,

Nikajua kikoba dunduliza Nikaanza kingi
kukuingiza, Vipi fremu ya duka Sinza, Nifuate
mzigo china si kuagiza, Na vile penzi sikuagiza,
Pesa kwangu ukaziingiza, Nikampa namba ya
China, Kumbe namba ya kichanaa,
Samahani,
Namba unayopiga, Umepigwa,

[Chorus]
Iko mambo,
Iko mambo hapo, Iko mambo,
Iko mambo hapo

Yeah,
Nipo kwenye DM najibu mashitaka, Vile anakesha
akiview mastata, Namba kazituma na mi
sijazitaka, Vile kanifollo na mi sijamfuata,

[Hook]
Eeeeeh, Iko mambo, Iko mambo hapo,
Ahh,
Akatuma picha mrembo shata shata, Akili
ikanituma kutaka kumkata, Nimetuma fungu
tayari kalipata, Anakuja na taxi leo ataipata,
Bado hajafika jogoo ameshawikaa,

[Hook]
Iko mambo,
Iko mambo hapo,
Aaay,
Nawamisi wale tuma kwa namba hii, Mapimbi mi
nawaliza kinamna hii,
Vile nawamarinati palee aayee,
Picha la Sanchoka kwa profile,
Ndo linawaseti seti waje aye,
Vile nawapeti peti pale aye,
Wakisema tuma picha nashusha naweka,
Wakitaka za utupu nashusha naweka,
Na akitaka namba ndo mambo yamejipa, Hapo
kuna saluni nauli kufika,
Bado kuna kiepe kinywaji kutisha, Wakishatuma
mkwanja tu namba imezimwa,
Samahani,
Namba unayopiga, Umepigwa,

[Chorus]
Iko mambo,
Iko mambo hapo, Iko mambo,
Iko mambo hapo

Mara ka -ex kanipigia,
Isaaki siku hizi umenichunia (mmh), Kabisa
umenitupa ka gunia (eehh),

Siku hizi ni kama umetulia (ahahahaa),
Vipi una demu ushachumbia (yuupoo),
Mambo ya ndoa sio ya kukimbilia (kabisa),
Sijui nikuiite baby ama dear (Uuh uuh, niite pale
pale tulipoishia), Umemtupa jongoo na mti wake pia (usijalii)
Mara moja moja uwe unanipigia (noowaay),
Mume wangu ameingia nitakupigia
Samahani,
Ndoa uliyofunga, Umefungwa
Smooshi, lete, weka hapa, Lete, smooshi, lete,
weka hapa, Letee.

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Iko Mambo Lyrics