Weusi – Manjee Lyrics

Weusi Air Weusi Album Lyrics

Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Manjee Lyrics by Weusi

[Intro]
Y’all ready to fly? Okay, okay
Air Weusi
Okay
Marapper hawapendi sisi, marapper okay
Marapper hawa penny sisi, marapper wa pay
Kinacho wapain sisi, marapper wa bei
My money on the rubber band, baraka okay
Waraka wa baba Mengi, waraka wa pay
Tunaipandisha game, bado mnavunja bei
Even Frank knows, corner zote tulipita tuki knock
doors We make dough

[Chorus]
Giza,
Watu hawataki mimi ni manjee,
Watu wanawekaga,
Giza,
Watu hawataki mimi ni manjee, Watu wanawekaga,
Giza

[Bridge]
Manjee manjee,
Day by day,
Labour Day wanikatie mkate,
Shida ni,
Manjee manjee,
Day by day,
Labour Day wanikatie mkate,
Mnapenda beef beef, tufungue butcher
Tukikiwasha hakibaki cha ukucha, Ambia sinza
huku si ndo kumekucha, Nakisanua azimio la
Arusha,

Aah, bonge la boflo hamuoni vitobo,
Bado mnapigania kukata gogo,
Akili ndogo, hamuenei vibobo
Hamfiki nusu, daily mshiko robo
Machizi wanaigiza hizo tabia wana B,
Bongo kama mbele hamko mbele mko Z, Maisha
hayanivuti, kanivuta mwokozi
Na usishangae mwanao leo ni pusher kesho nabii

[Chorus]
Giza,
Watu hawataki mimi ni manjee,
Watu wanawekaga,
Giza,
Watu hawataki mimi ni manjee, Watu wanawekaga,
Giza

[Bridge]
Vita ni vingi upigane ipi ndio maswali,
Vita ni vita mwanangu daily noa makali,
Mara ghafla imepanda bei ya sukari,
Na round hii hamuwezi funga geti kali,
Watoto wa uswazi wanapenyea digitali,
Game la siasa legendary,
Nipo Chuo hawapandishi secondary,
Tatizo sio kutoka na sio mistari,
Tatizo kuna wimbi lenye njaa kali,
(Kali ni kali ni ee)

[Chorus]
Giza,
Watu hawataki mimi ni manjee,
Watu wanawekaga,
Giza,
Watu hawataki mimi ni manjee, Watu wanawekaga,
Giza

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Manjee Lyrics