Weusi – Tout Le Monde Lyrics

Weusi Air Weusi Album Lyrics

Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Tout Le Monde Lyrics by Weusi

[Intro]
Makodi Killin dem

[Chorus]
Ushanipata (green light),
Nishakupata (green light)
Tunajikataa (Eey)
Toute le monde

[Bridge]
Everbody, tout le monde Everybody
(French verse) [Chorus] [Bridge]
Ni shida kashindwa shetani (shetani) kidol nishaweka kidani
Makeke zaidi
Zidane, harusi naita nyumbani
Nikki Sina po, mama hana po, depot tumetoka tumekula kiapo
Ni Sisi hapo, mizizi hapo, ndoa vile tamu kamuulize

[Chorus]
Ushanipata (green light),
Nishakupata (green light)
Tunajikataa (Eey)
Toute le monde

[Bridge]
No no no no noo, tout le monde mpaka kuche
More more more more moree, more vyombo turauke
(Ah) alishanipa keys i go (swiz) wanna ((swiz) wanna)
kiss me, tease me, i please wanna (please wanna)
Easy, saizi machiz wana (machiz wana),
mafekeche nayatuliza na Kamatia njia (aah),
kamatia nia (aah), hapa nakazia, ninacho
kwambia

[Chorus]
Ushanipata (green light),
Nishakupata (green light)
Tunajikataa (Eey)
Toute le monde

[Bridge]
Ulishabadilika mchezo toka ulipo ni bamba
Usije choma picha uko na mwamba kaa kijanja (eh)
Visa visa me no more (no more), maisha visha vinono
Hatufiki kikomo, bata refu kushinda reli ya kati
(aii, mama aii) Bata refu kushinda reli ya kati, watu
serebuka, serebuka, serebuka

[Bridge]
Toute le monde Everbody, tout le monde Everbody

[Outro]
Makodi killin dem

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Tout Le Monde Lyrics