Weusi – Derby Lyrics

Weusi Air Weusi Album Lyrics

Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Derby Lyrics by Weusi

Bankile, Bankile, Bankile, Bankile,
S2keezy baby..

Derby kila show aseme Sina dogo,
Maneno fainali semi mi si ndogo,
Derby kama Derby ya kariakoo,
El Clasico London viwango vya juu we ni classy
So, Vile sitaki kiu ikuletee mazoea nakutoa
lowkey, Bomba ni lako nikimalza kunyeshea
nalipiga lowkeey, Vile sitaki waje watuletea
mazoea tunacheza lowkey, Shake your boom boom ba,

Leta shida kila mall,
Me na zoom zoom back,
Cha kujenga si ni nyumba sio unyumba,
Mtambo nikipiga dede, Sipigi mke piga zege,
Mechi ni derby kila daily, Daiilyy eey

[Chorus]
Derby, derby, derby, derby, derby, derby,
Ahh kila mechi me ni derby, derby, derby,
derby,derby,derby,
Mhh,
Yeah, panda me nipande mbegu kama vita, Leta
me nilicharazee kama gitaa,
Ukati lingi we mama wee naku ng’arisha, Ona
mimi navyodeka unanilisha,
Sipigi nondo napiga noti noti,
Na bado nina betto kwenye koti koti
Sifui kwa dobi nakunja goti, goti,
Vile nausakata nausaka kwa tochi

[Hook]
Oooh daarling, darling, daarling, Unanilaza vile me
chaali, chali, chaalii, Mama killa,
Mama killa.

[Chorus]
Derby, derby, derby, derby, derby, derby,
Ahh kila mechi me ni derby, derby, derby,
derby,derby,derby,
Mhh,
Yeah, panda me nipande mbegu kama vita, Leta
me nilicharazee kama gitaa,
Ukati lingi we mama wee naku ng’arisha, Ona
mimi navyodeka unanilisha,
Sipigi nondo napiga noti noti,
Na bado nina betto kwenye koti koti
Sifui kwa dobi nakunja goti, goti,
Vile nausakata nausaka kwa tochi

Yeah,
Biggie, biggie, biggie laaaii
Napenda unite daddy vile me nakuhudumia,
Napenda vitu fulani vile me unanisusia, Napenda
uniite Afande Nikki nikukamatie, Niite kisukari nije
nikulambishie,
Nikianza kula vitu ivi kwa jasho mami, Utaacha
kula vitu ivi kwa macho yani, Mabobo
wanamuuliza anam ng’ata nani, Hii nyama
wanaitaka mpaka rasta mani, Ooh my baby why,
Ooh my baby aai,
Kwangu umekufa nami I’m ready to die, We ni
chipsi kavu baby ninakumayai, Sikufungulii suruali
wabilahi, Nakufungulia moyo wangu why lie,
Aai, derby, derby, dai,

[Chorus]
Derby, derby, derby, derby, derby, derby,
Ahh kila mechi me ni derby, derby, derby,
derby,derby,derby,
Mhh,
Yeah, panda me nipande mbegu kama vita, Leta
me nilicharazee kama gitaa,
Ukati lingi we mama wee naku ng’arisha, Ona
mimi navyodeka unanilisha,
Sipigi nondo napiga noti noti,
Na bado nina betto kwenye koti koti
Sifui kwa dobi nakunja goti, goti,
Vile nausakata nausaka kwa tochi

Mama nina black belt tusicheze kung-fu,
Na mi nina ugonjwa wa mapenzi sihitaji nafuu,
Maana kila mechi ndani ndani
Derby hainaga uwanja wa nyumbani yeah,
Na mwenyekiti mekalia usukani,
Na chombo hakiendi mrama yani stanning
stanning, Yaani ni boom boom ba,
Kitamu changu mi nakitunza,
Napokosea ndo najifunza,
Makali bado nyakurunzinzani,
Mama Killa, Mama killa,

[Chorus]
Derby, derby, derby, derby, derby, derby,
Ahh kila mechi me ni derby, derby, derby,
derby,derby,derby,
Mhh,
Yeah, panda me nipande mbegu kama vita, Leta
me nilicharazee kama gitaa,
Ukati lingi we mama wee naku ng’arisha, Ona
mimi navyodeka unanilisha,
Sipigi nondo napiga noti noti,
Na bado nina betto kwenye koti koti
Sifui kwa dobi nakunja goti, goti,
Vile nausakata nausaka kwa tochi

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Derby Lyrics