Weusi – Kamata Toto Lyrics

Weusi Air Weusi Album Lyrics
Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Kamata Toto Lyrics by Weusi

[Intro]
Makodi
Killin dem (killin dem)

[Chorus]
Kamata toto, pale pale Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale Ikizama imezama baba
Yeah,
Nikishalima nakula tunda shambani
Nikishavuna nalipeleka nyumbani
Likikolea naoa naweka ndani
Sinoi panga kuchunga kuku bandani
Le Mufasa! Li king la jungle
Walimanya, sicheki na panya
Kucheka nao watakuja kutuchanganya lfunanya baby mama la mama,
Eeiya hakuna madrama

[Bridge 1]
Kama kama kama kama Kama kama kama kama
Eeiyaa

Niko chini yake kama
Chaga na kitanda
Si tumeshikana kama mbezi na kibamba
Sio kushika shika
Sisi watu wa kubamba
Lord sarakasi sitishiki na misamba
Napita peke yangu njia nyembamba
Mjini, mangi bado nakichanga
Simsimangi wala kumnanga
Yeye kwangu bado ni kichanga

[Chorus]
Kamata toto, pale pale Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale Ikizama imezama baba
Yeah,
Nikishalima nakula tunda shambani
Nikishavuna nalipeleka nyumbani
Likikolea naoa naweka ndani
Sinoi panga kuchunga kuku bandani
Le Mufasa! Li king la jungle
Walimanya, sicheki na panya
Kucheka nao watakuja kutuchanganya lfunanya baby mama la mama,
Eeiya hakuna madrama

[Bridge 2]
Hii nyama yangu, nimeipata
Hii ndaba yali, nnavyozikata kama
Napiga rungu kipepe pepee, napiga nyungu ni
tepe tepee Nakata waya vicheche chechee,
nakata mbaya mambo ya kete
Mama twende shopping ama designer
Na si makopa kopa maneno China
Vile tumetoka, unawasigina (say what)
We pop bottles, mama mimina
Wakileta battle nakuwamimina no childish bid daddy
Jitu la kazi bob daddy
Bad girl, me nakula vyote na Sina pupa
So na

Kamata toto, pale pale Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale Ikizama imezama baba
Yeah,
Nikishalima nakula tunda shambani
Nikishavuna nalipeleka nyumbani
Likikolea naoa naweka ndani
Sinoi panga kuchunga kuku bandani
Le Mufasa! Li king la jungle
Walimanya, sicheki na panya
Kucheka nao watakuja kutuchanganya lfunanya baby mama la mama,
Eeiya hakuna madrama

Kama kama kama kama Kama kama kama kama
Eeiyaa

Kamata toto, pale pale Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale Ikizama imezama baba
Yeah,
Nikishalima nakula tunda shambani
Nikishavuna nalipeleka nyumbani
Likikolea naoa naweka ndani
Sinoi panga kuchunga kuku bandani
Le Mufasa! Li king la jungle
Walimanya, sicheki na panya
Kucheka nao watakuja kutuchanganya lfunanya baby mama la mama,
Eeiya hakuna madrama

[Outro]
Indaba yali Ninavyozikata kama
Makodi killin dem

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Kamata Toto Lyrics